Tupeane ramani ya zile kazi ambazo zinadharauliwa lakini zinae kibunda


AI naibeba kama ilivyo
 
Siwapendi hao watu, yani kazi ya laana kupiga teke chakula, kishika vitu vya watu yani shida tupu, Kuna mgambo alijipeleka kiherehere kuokota nguo za machinga, eti ameweka sehemu isiyo sahihi, asee ile kainama anakusanya alikula teke zito, haaaaaaahhahah😆
 
Kuna binti mdogo kabisa ni mortuary attendant kwa kuangalia muda aliomaliza form four hazidi miaka 22. Hua najiuliza aliona nini huko
Siku moja tulifuata maiti motuary ya Police Kilwa road,Pale motuary dada tuliemkuta kama motuary attendant ni mrembo , nilijiuliza maswali, hivi dada kama huyu anawezaje kufanya kazi ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…