Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Mkuu unavyosikia mavikos haya yanatoa lin majina?Wo
worry out ndugu najua umeombea kupitia form6 ila tuombe mungu kwanza, ni jambo la kufanya mahesabu tu apo kwa kifupi sana chukua 3500 toa degree + diploma + certificate let say watakua ni 300 then toa idadi ya watu500 wa zanzibar then toa tena 300ambao hao tufanye ni wale baba kantuma kimahesabu nafikr itabaki 2400 bac hii ndo itakua idadi ya form4 na form6 ingawaje kwa nilivyoskia form4 hua ndo weng zaid hivyo bas kwa makadirio yang naona form6 watacheza kweny800 ukoo
Ukijibiwa nitag na mm mkuuWakuu na jobless wote poleni na kazi na majukumu kwa ujumla. Vip hawa polisi za ndani mlio pata au kusikia ni lini wakaachia PDF
Mbkna unasisitiza sana mkuu mwez huu una ajenda nao gan? Kwan haiwezekan mwez ujao?Mzigo bado wakuu tuendelee kusubir ila ndani ya huu mwez pdf lazima iachiliwe
Mmh mbona sijakusoma, hao madogo wa form6 kutoka mwez wa9 jkt wanahusiana vip na ajira za polisi mkuu??π€Mpaka madogo watoke jkt kule after two week ndo mtaitwa usaili
Lete maneno mkuu mana vikos nimeambiwq mwez wa nane sasa sijui hii yangu ni kesi tofaut na hii au ni hiyohiyo@Fundi manyumba
Vikosi gani tena?P
Lete maneno mkuu mana vikos nimeambiwq mwez wa nane sasa sijui hii yangu ni kesi tofaut na hii au ni hiyohiyo
Kwan jeshi la Tanzania si hilohilo la Zanzibar auVikosi gani tena?
Mwez huu nazani wataachia maana ni miez mi2 sasaMbkna unasisitiza sana mkuu mwez huu una ajenda nao gan? Kwan haiwezekan mwez ujao?
Ndio ndioKwan jeshi la Tanzania si hilohilo la Zanzibar au
Ukisikia neno vikosi huwa unaelewa nini na mchakato gan unatumika kutoa neno vikosiNdio ndio
π€Ukisikia neno vikosi huwa unaelewa nini na mchakato gan unatumika kutoa neno vikosi
Naam naam uwekezaj muhimu mkuuSema mtakaofanikiwa kulamba Asali mjitahidi Sana mfanye uwekezaji kwa kizazi chenu
Unadhalilika na nini mkuu?ππMm mwemyew nawaza had sio poa mbona nadhalilika huku
Nasubir mlambo wa asali naona unachelewa. Naishia kupanda mnaz kwa mkono mmoja geto na kulala tu.. hizi habar za vikosi nani anazo rupees fununu wakuu tupoe kidogoUnadhalilika na nini mkuu?ππ
Aaah hapo sijui nikufafanulie vipi..Mmh mbona sijakusoma, hao madogo wa form6 kutoka mwez wa9 jkt wanahusiana vip na ajira za polisi mkuu??π€
Ni mpaka mwezi wa tisa mkuu ... Tusiwe na harakaP
Lete maneno mkuu mana vikos nimeambiwq mwez wa nane sasa sijui hii yangu ni kesi tofaut na hii au ni hiyohiyo
Sasa mwezi wa9 mbona mbali sana, yani apo mpaka wakujitolea watakua washaripoti makambiniβ¦.sasa si itakua mtu bora uingie zako jkt uko kuliko kusubiria polisi ambao hauna uhakika nao kama utapata au utakosaAaah hapo sijui nikufafanulie vipi..
Ila ndio hvo baada ya madogo kutoka kule mwezi wa tisa baada ya week 2 hvi ndio usaili utaanza
Unapanda mnazi kwa mkono mmoja geto na kulala tu au sioo πππππππNasubir mlambo wa asali naona unachelewa. Naishia kupanda mnaz kwa mkono mmoja geto na kulala tu.. hizi habar za vikosi nani anazo rupees fununu wakuu tupoe kidogo
Mkuu amini nachokuambia..Sasa mwezi wa9 mbona mbali sana, yani apo mpaka wakujitolea watakua washaripoti makambiniβ¦.sasa si itakua mtu bora uingie zako jkt uko kuliko kusubiria polisi ambao hauna uhakika nao kama utapata au utakosa