Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Wo

worry out ndugu najua umeombea kupitia form6 ila tuombe mungu kwanza, ni jambo la kufanya mahesabu tu apo kwa kifupi sana chukua 3500 toa degree + diploma + certificate let say watakua ni 300 then toa idadi ya watu500 wa zanzibar then toa tena 300ambao hao tufanye ni wale baba kantuma kimahesabu nafikr itabaki 2400 bac hii ndo itakua idadi ya form4 na form6 ingawaje kwa nilivyoskia form4 hua ndo weng zaid hivyo bas kwa makadirio yang naona form6 watacheza kweny800 ukoo
Mkuu unavyosikia mavikos haya yanatoa lin majina?
 
Mmh mbona sijakusoma, hao madogo wa form6 kutoka mwez wa9 jkt wanahusiana vip na ajira za polisi mkuu??🤔
Aaah hapo sijui nikufafanulie vipi..
Ila ndio hvo baada ya madogo kutoka kule mwezi wa tisa baada ya week 2 hvi ndio usaili utaanza
 
Aaah hapo sijui nikufafanulie vipi..
Ila ndio hvo baada ya madogo kutoka kule mwezi wa tisa baada ya week 2 hvi ndio usaili utaanza
Sasa mwezi wa9 mbona mbali sana, yani apo mpaka wakujitolea watakua washaripoti makambini….sasa si itakua mtu bora uingie zako jkt uko kuliko kusubiria polisi ambao hauna uhakika nao kama utapata au utakosa
 
Back
Top Bottom