Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Very soon
Mkuu nina stress hapa za kutosha. Kama ni mwez ujao tuambiane tu mana nishachoka kuunga ungainly mtaani. Naomba nipate accuracy tu kwamba ni lini hasa 💣💥

Isije ikawa soon kwako mana kwangu mm geto lumebakia unga na dagaa wa kula siku 20 tu
 
Nakazia siku20 tu😅
 
Nimeenda kweny page ya polisi nimekumbushia kuhusu majina ya usahili lakin naona comment yangu ime be removed
 
Una uzoefu wa kurusha kindege?
 
Iyo ya kurusha kindege itakumaliza😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…