Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Mkuu nina stress hapa za kutosha. Kama ni mwez ujao tuambiane tu mana nishachoka kuunga ungainly mtaani. Naomba nipate accuracy tu kwamba ni lini hasa 💣💥Very soon
Isije ikawa soon kwako mana kwangu mm geto lumebakia unga na dagaa wa kula siku 20 tu