Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Gross salary kwa proffesional huwa ni sawa taasisi nyingine za serikali. For example Medical Doctor atapata mshahara sawa na salary scale ya professional yake serikalini...the same applies to Clinical Officer...Engineer..nurse etc( hii ni standard ambayo iliwekwa)....utofauti utakuja kwenye Allowances ambazo kuna zile general kwa polisi wote regardless na proffesion ila kuna additional allowances zingine zinategemea na proffession uliyopo.
 
Maafande week hii tunaweza pata chochote kitu kutoka kwa PT au ndo tusubr mpka mwez wa9?
 
Hahaha wote ata wakiwa maelfu
Wanaotumia cheti cha form6 hua ni wachache mkuu sabab weng wanakua na mzuka wa kwenda chuo…..hua wanakua wachache wengi hua ni form4 na bachelor, diploma na certificate
 
Kwani kwa tyliotumia cheti cha form 4 majina yatachujwa kwenye mkoa tulio chagua au wata tuma tu majina kwa wote
 
Kwa maana wanaohitajika zaidi form four failure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…