Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Nakumbuka Nilisema Nitakazia Maarifa Kwenye Mishahara Na Allowance..

Japo Kuna Mkuu Aliongolea Vema Sana Kuhusu Mishahara Yao..

Sikukosoa Ila Nilisema Kwamba Nitakazia Maarifa Zaidi...


Sidhani Kama Kuna Ubaya Watu Kujua Mishahara Ya Taasisi Mbalimbali Za Kiserikali Bila Kupotosha Maana Ya Ukweli Uliopo...

Nitasemea Mishahara Kwa Baadhi Ya RANK Za Chini Maana Ndo Ambazo Tutakaa Navyo Kwa Miaka Almost 5...

Mishahara Huwa Ni Ya Kawaida Japo Makato Ndo Huwa Yanadidimiza TAKE HOME (Hela Utakayopata Baada Ya Makato Mbalimbali)..

Muhimu Ukiingia Kwenye TAASISI HII YA KIJESHI (ZOTE) Kusoma Ndo Jambo Muhimu Sana.... Mshahara Mkubwa Unaendana (PROPORTIONAL) Na Jinsi Utakavyojitahidi Kusoma...

Stay Tuned
Gross salary kwa proffesional huwa ni sawa taasisi nyingine za serikali. For example Medical Doctor atapata mshahara sawa na salary scale ya professional yake serikalini...the same applies to Clinical Officer...Engineer..nurse etc( hii ni standard ambayo iliwekwa)....utofauti utakuja kwenye Allowances ambazo kuna zile general kwa polisi wote regardless na proffesion ila kuna additional allowances zingine zinategemea na proffession uliyopo.
 
Hahaha wote ata wakiwa maelfu
Wanaotumia cheti cha form6 hua ni wachache mkuu sabab weng wanakua na mzuka wa kwenda chuo…..hua wanakua wachache wengi hua ni form4 na bachelor, diploma na certificate
 
Kwani kwa tyliotumia cheti cha form 4 majina yatachujwa kwenye mkoa tulio chagua au wata tuma tu majina kwa wote
 
Vijana tujikite kwenye kilimo cha viazi kinalipa
GRqi_cgbMAAqn15.png
 
Wakuu natumai tunasubir kwa hamu majina ya usahil hivyo basi mungu atusaidie tuweze kufanikiwa na usahili tupite na tukalitumikie taifa, kwa lonja nilionayo ni kwamba mchongo upo kweny process za ukamilishwaj na hivyo siku yoyote ukiwa tamat pdf itaachiliwa, idadi ya watu wanaohitajika ni 3500+ na ni hivi degree holder wanohitajika kwenda ccp hawatozid80, diploma hawatozid80 na certificate hawatozid80 ni hayo tu wakuu.
Kwa maana wanaohitajika zaidi form four failure kabisa.
 
Back
Top Bottom