Gross salary kwa proffesional huwa ni sawa taasisi nyingine za serikali. For example Medical Doctor atapata mshahara sawa na salary scale ya professional yake serikalini...the same applies to Clinical Officer...Engineer..nurse etc( hii ni standard ambayo iliwekwa)....utofauti utakuja kwenye Allowances ambazo kuna zile general kwa polisi wote regardless na proffesion ila kuna additional allowances zingine zinategemea na proffession uliyopo.Nakumbuka Nilisema Nitakazia Maarifa Kwenye Mishahara Na Allowance..
Japo Kuna Mkuu Aliongolea Vema Sana Kuhusu Mishahara Yao..
Sikukosoa Ila Nilisema Kwamba Nitakazia Maarifa Zaidi...
Sidhani Kama Kuna Ubaya Watu Kujua Mishahara Ya Taasisi Mbalimbali Za Kiserikali Bila Kupotosha Maana Ya Ukweli Uliopo...
Nitasemea Mishahara Kwa Baadhi Ya RANK Za Chini Maana Ndo Ambazo Tutakaa Navyo Kwa Miaka Almost 5...
Mishahara Huwa Ni Ya Kawaida Japo Makato Ndo Huwa Yanadidimiza TAKE HOME (Hela Utakayopata Baada Ya Makato Mbalimbali)..
Muhimu Ukiingia Kwenye TAASISI HII YA KIJESHI (ZOTE) Kusoma Ndo Jambo Muhimu Sana.... Mshahara Mkubwa Unaendana (PROPORTIONAL) Na Jinsi Utakavyojitahidi Kusoma...
Stay Tuned