Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Kigezo gani wametumia kuchagua kwa wewe unavyoona
Kwa nilivyoskia ni kwamba hua wanaangalia vigezo vyao vyote kama umekidhi….so kwa upande wangu mm vigezo vyote nilikua nimekidhi, pia cheti cha jkt nilitumia na vyeti vingne vya academic pale kweny sehem ya other qualification nikawaandikia na barua saf mwandiko saf pamoja na CV safi kabisa😋…..sasa sijui kua ivo ndo vimesaidia au vip mkuu🤷
 
Asante kwa ufafanuzi nasikia pia hawapendezewi na degree ni kweli?
 
Naskia degree wanaitajika wachache, wao wanataka askari ambae ataweza kwenda lindo uyo ndo askar sasa……hao wa kutaka vyeo na kukaaa ofisin hawawatak😁
Asante kwa ufafanuzi nasikia pia hawapendezewi na degree ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…