Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Mm nasubri baka mzee hawa jamaa nikiri kuwa sikuombaMzee mwenzangu vp umeliona zigo hilo humo au simanzi inazid kutawala??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nasubri baka mzee hawa jamaa nikiri kuwa sikuombaMzee mwenzangu vp umeliona zigo hilo humo au simanzi inazid kutawala??
Mkuu huko ngoja tuone maana hata waliopo huko hawaijui ni siku gan saiv wameanz kuja na mwez wa nane ila wanakomalia wa 9 sa cjui n kuitwa au kuanza kujila...Mm nasubri baka mzee hawa jamaa nikiri kuwa sikuomba
Kmy kimetawala huko labda wanasubiri maadhimisho ndio wa announce?Bakabaka nalo limekaaje wazee mbona hamsemi?
Tukae pemben sio...Hahaha all the best mkuu huko katika usailiDegree mkae kwa kutulia hasa forensic accounting na economics wame wachinjia poleni
Form 6 mzee sijui wametumia kigezo gan maana kama ni ufaulu upo umenyooka.. lakin All the best kwa waliochaguliwaVip mkuu ulitumia bachelor au?
Mimi sikuombaa mkuuTukae pemben sio...Hahaha all the best mkuu huko katika usaili
DahMkuu huko ngoja tuone maana hata waliopo huko hawaijui ni siku gan saiv wameanz kuja na mwez wa nane ila wanakomalia wa 9 sa cjui n kuitwa au kuanza kujila...
Kmy kimetawala huko labda wanasubiri maadhimisho ndio wa announce?
Uliweka cheti cha jkt?Form 6 mzee sijui wametumia kigezo gan maana kama ni ufaulu upo umenyooka.. lakin All the best kwa waliochaguliwa
Kwa nilivyoskia ni kwamba hua wanaangalia vigezo vyao vyote kama umekidhi….so kwa upande wangu mm vigezo vyote nilikua nimekidhi, pia cheti cha jkt nilitumia na vyeti vingne vya academic pale kweny sehem ya other qualification nikawaandikia na barua saf mwandiko saf pamoja na CV safi kabisa😋…..sasa sijui kua ivo ndo vimesaidia au vip mkuu🤷Kigezo gani wametumia kuchagua kwa wewe unavyoona
Naomba kuuliza hv interview za polis upande wa course za electronic and telecommunication
hata mimi napenda kujuaNaomba kuuliza hv interview za polis upande wa course za electronic and telecommunications
We unataka waende ivoivo sio😂Kwani mna mashaka na taaluma zenu mpaka mwende na possible??
Acha nondo zihusike kisije kikaumana mkuu... we idadi yote hiyo mpaka unachomoka kwenye chujio ni kumuomba mungu usiku na mchanaWe unataka waende ivoivo sio😂
ni kweli kabisaAcha nondo zihusike kisije kikaumana mkuu... we idadi yote hiyo mpaka unachomoka kwenye chujio ni kumuomba mungu usiku na mchana
Asante kwa ufafanuzi nasikia pia hawapendezewi na degree ni kweli?Kwa nilivyoskia ni kwamba hua wanaangalia vigezo vyao vyote kama umekidhi….so kwa upande wangu mm vigezo vyote nilikua nimekidhi, pia cheti cha jkt nilitumia na vyeti vingne vya academic pale kweny sehem ya other qualification nikawaandikia na barua saf mwandiko saf pamoja na CV safi kabisa😋…..sasa sijui kua ivo ndo vimesaidia au vip mkuu🤷
Degree hawataki, utaenda kulivuna jeshi😂😂😂😂Asante kwa ufafanuzi nasikia pia hawapendezewi na degree ni kweli?
Asante kwa ufafanuzi nasikia pia hawapendezewi na degree ni kweli?