Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Maafande wenzang nawakumbusha tu tangazo la ajira lilisema kua muombaji awe anajua lugha zote mbili kiswahili na kingereza….aloo weee🔥🔥
 
We acha tu yasije kuwa kama yale watu walifoka sana baad ya watu kufanyiwa usahil wale wa Form four div 4 za mwishoni huko hizo 3,2,1 na 4ya 26 wakapigwa chin wacjesumbua kwenda kusoma mbelen😂
Noma mkuu
 
Maafande wenzang nawakumbusha tu tangazo la ajira lilisema kua muombaji awe anajua lugha zote mbili kiswahili na kingereza….aloo weee🔥🔥
Aloo tenaaa😂😂😂 you know am kuja here to make usahil because am takaling kulitumikia......eeeee chino wana man😂
 
We acha tu yasije kuwa kama yale watu walifoka sana baad ya watu kufanyiwa usahil wale wa Form four div 4 za mwishoni huko hizo 3,2,1 na 4ya 26 wakapigwa chin wacjesumbua kwenda kusoma mbelen😂
Hawatak mtu mwenye ufaulu mzur sana kwa form4 maana utaenda kulivuna jeshi 😂
 
yaan ndio hiyo tu au kuna posho nyngn?
Apo bado posho….ya msosi kama 300000 na vinywaji 100000 ambayo hii unapewa kila baada ya miez mi3 yaan utakua unapewa lak3…..so kwa upande wa posho jumla kwa mwez ni laki4
 
Yaan take home inaringan na R.A ya mJW....hata kuruta wa Rts posho yake inamsogelea huyo aliepo chombon tyr💔🚮
Mkuu huko kuna kitu wanakiita kikokotoo aloo icho askar hawatak hata kukiskia kinaumiza watu sana 😂😂😂😂
 
Apo bado posho….ya msosi kama 300000 na vinywaji 100000 ambayo hii unapewa kila baada ya miez mi3 yaan utakua unapewa lak3…..so kwa upande wa posho jumla kwa mwez ni laki4
cjaelewa hapa kwahiyo jumla kwa siku 30 za mwez anapata shingap? au ndio hiyo laki 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…