Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma mkuuWe acha tu yasije kuwa kama yale watu walifoka sana baad ya watu kufanyiwa usahil wale wa Form four div 4 za mwishoni huko hizo 3,2,1 na 4ya 26 wakapigwa chin wacjesumbua kwenda kusoma mbelen😂
Aloo tenaaa😂😂😂 you know am kuja here to make usahil because am takaling kulitumikia......eeeee chino wana man😂Maafande wenzang nawakumbusha tu tangazo la ajira lilisema kua muombaji awe anajua lugha zote mbili kiswahili na kingereza….aloo weee🔥🔥
Hawatak mtu mwenye ufaulu mzur sana kwa form4 maana utaenda kulivuna jeshi 😂We acha tu yasije kuwa kama yale watu walifoka sana baad ya watu kufanyiwa usahil wale wa Form four div 4 za mwishoni huko hizo 3,2,1 na 4ya 26 wakapigwa chin wacjesumbua kwenda kusoma mbelen😂
Mambo magum ndugu yang kikubwa dua tu ziwe nyingu na kufungua moyo kwa fatiki za hapo maan hizo nguo za michezo mmmh🙄Noma mkuu
😂😂😂😂Aloo tenaaa😂😂😂 you know am kuja here to make usahil because am takaling kulitumikia......eeeee chino wana man😂
Atalivuna wap asa akat wanabanwa kwenda kusoma mkuu....sema wanataka watu wa kuwapelekesha tuHawatak mtu mwenye ufaulu mzur sana kwa form4 maana utaenda kulivuna jeshi 😂
Ukiishi vzr na wakubwa zako nafas yakwenda kusoma utaipataAtalivuna wap asa akat wanabanwa kwenda kusoma mkuu....sema wanataka watu wa kuwapelekesha tu
Hivi mkuu kwa 4m4 anaeanza analipwa shingap?Hawatak mtu mwenye ufaulu mzur sana kwa form4 maana utaenda kulivuna jeshi 😂
Nakwambiaje litapigwa doso la kufa mtuu apooMambo magum ndugu yang kikubwa dua tu ziwe nyingu na kufungua moyo kwa fatiki za hapo maan hizo nguo za michezo mmmh🙄
Naskia 480000 then take hom kama390000Hivi mkuu kwa 4m4 anaeanza analipwa shingap?
yaan ndio hiyo tu au kuna posho nyngn?Naskia 480000 then take hom kama390000
Hahahaha acha uoga mkuu😂yaan ndio hiyo tu au kuna posho nyngn?
hahahah sio uoga mkuu wanaonewa sana ndugu zang sasa take home 390K kwa lyf la sasa n ndogo waongezwe bhn😂Hahahaha acha uoga mkuu😂
Apo bado posho….ya msosi kama 300000 na vinywaji 100000 ambayo hii unapewa kila baada ya miez mi3 yaan utakua unapewa lak3…..so kwa upande wa posho jumla kwa mwez ni laki4yaan ndio hiyo tu au kuna posho nyngn?
Sasa tufanyaje mkuu ndo kazi iyo sasa inataka ulipwe ivo 😂😂😂hahahah sio uoga mkuu wanaonewa sana ndugu zang sasa take home 390K kwa lyf la sasa n ndogo waongezwe bhn😂
Yaan take home inaringan na R.A ya mJW....hata kuruta wa Rts posho yake inamsogelea huyo aliepo chombon tyr💔🚮hahahah sio uoga mkuu wanaonewa sana ndugu zang sasa take home 390K kwa lyf la sasa n ndogo waongezwe bhn😂
Mkuu huko kuna kitu wanakiita kikokotoo aloo icho askar hawatak hata kukiskia kinaumiza watu sana 😂😂😂😂Yaan take home inaringan na R.A ya mJW....hata kuruta wa Rts posho yake inamsogelea huyo aliepo chombon tyr💔🚮
Enheeee kipoje master?Mkuu huko kuna kitu wanakiita kikokotoo aloo icho askar hawatak hata kukiskia kinaumiza watu sana 😂😂😂😂
cjaelewa hapa kwahiyo jumla kwa siku 30 za mwez anapata shingap? au ndio hiyo laki 4Apo bado posho….ya msosi kama 300000 na vinywaji 100000 ambayo hii unapewa kila baada ya miez mi3 yaan utakua unapewa lak3…..so kwa upande wa posho jumla kwa mwez ni laki4