Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

CHAI CHAI…..wakuu iyo ni chai tena ya tangawizi
 
Du aisee nimesoma ugomvi wenu nimeona jamaa ana negative mindset ya kutotoboa ndyo maana anashauri watu kutumia vyeti vya form 4 wakati Wana elimu kubwa.Kwa mtazamo huu Kaka huyu jamaa anaweza akakosa mara ya 9 hata kama aliandikiwa atapata.What you think is what you attract.
 
Shukran mkuu
Prota unapewa udesign au?
 
acha kujikweza unakazi nzuri au uwezo wa kuipata ndo upeleke vinyanya mshenzi kwenye laki saba sasa wewe aliyekwambia ukaemtaani nani ci maamuzi yako mimi nimeanza kuomba military organs zingine sio polisi na jkt ndo kilikua kikwazo polisi nimeomba mwakahuu na nimeitwa mimi nakwambia ukweli sio muigizaji Kama wewe na usilolojua kwa fani yangu naweza nikaingia polisi na nisiwe polisi ukanikuta kwingine muulize huyo mbanga bwabwa atakwambia😅😅😅😅
 
Vijana mnapgana vita mtasaidiana kweli kwenye mtihan
 
Natamani sana nitaje jina langu na namba zangu kabisa ila bahati mbaya kuna maafande humu isije kesho tukakmiana kisa tu comment ya Jf yenye nia ya kuchangamsha genge mtu akachukulia personal
mbio ni raundi tatu tu hazizidi mkuu utazunguka uwanja kwa makundi watakua wanakata wa mwisho kila kundi na hakuna hata atakepigwa doso askari wanajua hamjapimwa afya bado kitakacho tuua ni kukaa huku tumekunja miguu kwa mstari hadi siku usaili unaisha kwa wale wa taaluma mbio hakuna kuna written exam ya fani yako,then oral,then practical kwa fani kama Cyber na ICT then mwisho afya na kusubili majibu kama unafani kusoma muhimu sikutanii
 
Wakuu za ndaaaani kabisa kesho mnaweza mkafika kwenye Usaili na msifanye chochote mkashinda tu hapo bila issue yoyote ile, na keshokutwa pia inaweza ikawa hivyo hivyo, hata j5 pia inaweza kuwa hvyo lengo Msusie mkasirike msije muwe mmeshajipunguza! Kwahyo kuweni wavumilivu kazeni, hata kama wakisema subirini mpaka usiku komaeni hapo hapo hata kama ikiwa wiki ijayo wewe amka asubuhi timba mzigoni hakuna kurudi nyuma wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…