Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

sio ugomvi bana😅😅😅😅😅 maisha tu
 
Mkuu hapo kwenye suala kupima afya.

Kwenye portal yao application kulikuwa na kipengele cha kujaza kuonesha kama una-ulemavu wowote mathalani husikii vizuri, huoni vizuri, albinism nk. Kama wanataka watu walio wazima timamu kimwili na kiakili. Lengo la icho kipengele kwenye recruitment portal yao cha kuonesha ulemavu lengo huwa ni nini ?
 
Jiongeze boss
 
Naamini Aliyejaza hicho kipengele kwamba ana madhaifu au ulemavu wa kiungo hakuwa na bahati ya Kuitwa kwenye usaili...

Kama alivyosema bro ni KUJIONGEZA TU kwa ku skip hvo vipengele kwenye Portal
 
Naamini Aliyejaza hicho kipengele kwamba ana madhaifu au ulemavu wa kiungo hakuwa na bahati ya Kuitwa kwenye usaili...

Kama alivyosema bro ni KUJIONGEZA TU kwa ku skip hvo vipengele kwenye Portal
kuna watu ea fani, nawafahamu wana hard of hearing na wameitwa. Ndio nimewaza labda itakuwa utaratibu wa majeshi umebadilika kwa upande wa watu wenye ulemavu.
 
kuna watu ea fani, nawafahamu wana hard of hearing na wameitwa. Ndio nimewaza labda itakuwa utaratibu wa majeshi umebadilika kwa upande wa watu wenye ulemavu.
Naamini kwamba utimamu wa mwili unakosudiwa kwenye ukaguzi polisi ni ule ambao hautamuathiri mtu kwenye kupiga kwata (mfano; ulemavu wa viungo kama miguu au mikono, mshono mkubwa etc) na wa kimaadili (mfano; absence of marinda) na afya kwa ujumla kama vile muathirika wa vvu au maradhi chronic ya moyo.

Uziwi, ulemavu wa ngozi na mfano wa hayo sidhani kama vinamzuia mtu kupiga mazoez na kufanya kazi especially kama fani yake inahitaji vitendo zaidi kuliko porojo.
Kwahio me naamini atapita, hawajamuita kwenye usaili kwa bahati mbaya!
 
Dah masikio ni muhimu sana kaka Parade atapigaje hujui mtu akiwa hasikii vizuri anapoteza body balance hususani mwobdoko wake
 
Dah masikio ni muhimu sana kaka Parade atapigaje hujui mtu akiwa hasikii vizuri anapoteza body balance hususani mwobdoko wake
Lakini huenda ndugu nakumbuka kuna kikosi kipo cha jkt kinamiundombinu ya watu wenye ulemavu hata waviungo wanamaliza ila mafunzo yao sio ya shuluba
 
Kumekucha kumekucha kumekucha Ni jambo la kumshukuru Mungu kuiona siku hii ya leo, nawaombea wote tunaokwenda kwenye usaili tumalize salama tusipatwe na matatizo yoyote yale
 
Lakini huenda ndugu nakumbuka kuna kikosi kipo cha jkt kinamiundombinu ya watu wenye ulemavu hata waviungo wanamaliza ila mafunzo yao sio ya shuluba
JKT RUVU hiyo Pakishua saana pale
 
kuna watu ea fani, nawafahamu wana hard of hearing na wameitwa. Ndio nimewaza labda itakuwa utaratibu wa majeshi umebadilika kwa upande wa watu wenye ulemavu.
Kama ana matatizo ya kusikia vizuri lazima awe mwangalifu sana mbeleni maana hata ibaki mwezi 1 kabla ya kumaliza Mafunzo wanaweza kumfukuza Mafunzo.... Awe makini sana maana kule issue ya kusikia vizuri ni muhimu sana ile aweze kufanya vitendo kwa usahihi zaidi
 
AZINGATIWE ANAKITU HUYU
 
Tuliopo kigoma. Mchakamchaka bado unaendelea nafasi 10 za mwanzo wanapew coupon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…