Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Lakini Kuna polisi wengine wafupi mkuu Huwa nawaona au
Mkuu wale wamepita kwa connection ila mimi kama mimi siwezi kubali mtu mfupi kazini sawa mkuu.....

Its jokes bana hakuna ishu kama hiyo mambo ya urefu na ufupi awa weki serious kabisa ila usiwe andunje sasa
 
Sawa 😆
 
Wakuu kuna jipya gani uko mbona PT wapo kmya sna, no PDF mpka sasa🤷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…