Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Hivi wakuu kwa mwenye uelewa atujuze kdgo, ukiingia na chet cha form6 itakuchukua miaka mingap kupiga kaz alaf ndo utoke kwenda kujiendeleza kielimu?

Na je ukitoka kwenda kujiendeleza kielimu kuna pesa yoyote utapewa ya kujikidhi au ni suala mshahara wako tu kuingia basi, na je ukitoka kwenda kusoma unaweza toka kwa mda wa miaka5 ukawa unasoma tu??
 
Tuelezee kuhusu makomando wa police
Hao Huwa ni task force maalum kwaajili ya mission maalum...wengi wao hutoolewa kutoka kwenye kikosi Cha field force unit...baada ya kujipendekeza wenyewe au kwa kuchaguliwa wanaenda sasa kufanya mafunzo maalum ya ukomandoo.

Ujue police Kila mara Huwa Wana fanya mafunzo ya utayari...! Lakini kwa askari wapya awawezi kutoka moja kwa moja na kujiunga na task force ya makomandoo...!

 
Hivi wakuu kwa mwenye uelewa atujuze kdgo, ukiingia na chet cha form6 itakuchukua miaka mingap kupiga kaz alaf ndo utoke kwenda kujiendeleza kielimu?

Na je ukitoka kwenda kujiendeleza kielimu kuna pesa yoyote utapewa ya kujikidhi au ni suala mshahara wako tu kuingia basi, na je ukitoka kwenda kusoma unaweza toka kwa mda wa miaka5 ukawa unasoma tu??
Ukiwa kwenye mikoa yenye vyuo karibu utajisomesha mwenyewe 🤣 🤣 🤣 kwasababu mwenye shida ya ku upgrade elimu ni wewe mwenyewe.

ila wakikutaka usomee elimu yao yenye manufaha na kazi yao watakulipa mshahala wako kama kawaida japo hivi karibuni walio kuwa wanaenda kusomea elimu mbali mbali walikuwa wanajigharamia baadhi ya gharama.

Kwa kifupi utakacho lipwa ni mshahala wako tu...na ukimaliza ulichokuwa unasomea utasubmit vyeti vyako kwaajili ya kupandishwa mshahala.

MAOMBI ya kwenda kusoma kwa askari wapya nadhani Huwa ni baada ya kutumikia kwa miaka 3 na hutoka kwa dhamu hivyo ukiomba unaweza kukubaliwa au kukataliwa ila ukikubaliwa itakubidi usubiri Hadi dhamu Yako ifike hata kama ni miaka 3 nyingine mbele🤣🤣🤣

Na kwa elimu zao za kipolisi ni bahati tu unaweza ukawa na mwaka 1 ukachaguliwa kwenda kusoma elimu yao. Kutokana na ufaulu wako na masomo uliyo soma

Raha ya jeshi zitoke nafasi za elimu zao ndio utafaidi...! Ila sio elimu zetu za kiraia
 
Mm jaman nimeomba lakini nilifanya udanganyifu kozi niliyoisomea walihitaji diploma na mm Nina bachelor ilikuwa ngumu kuombea cheti Cha form six kwakuwa nimehitimu miaka mingi kwahiyo hapa nimejikatia tamaa muda tu hata hayo majina ya interview sidhani kama nitatoboa
Huwezi jua usijikatie tamaa zidisha maombi ndugu yangu🙏🏽
 
Back
Top Bottom