Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Ni miezi 10 tu...inayoambatana na mazoezi ya utayari, vikwazo, masomo ya Sheria za aina zote...

Kwa kifupi askari wanafundishwa taaluma zote...ikiwemo Sheria za barabarani...hivyo askari akitoka depo anaweza kupangiwa kazi yoyote ya uaskari. Askari alie fuzu anaweza kuwa trafiki, customer care, F.F.U N.K

Isipo kuwa C.I.D Hawa kidogo Kuna kaufaulu na aina ya level ya elimu Huwa wanazingatia ili wapewe mafunzo hayo ya u_C.I.D

Kwa muktadha huo Kila askari anaweza kupata mafunzo ya awali ya upelelezi ila wabobezi wa upelelezi wanao Toka depo moja kwa moja Huwa wanapewa mafunzo mengine ya ziada...!

Walio kidhi vigezo vya kuwa C.I.D Huwa na darasa lao maalum.

Ila mafunzo mengine yote ya utimamu, utayari, uzalendo, UTII na vikwazo wanapewa pamoja...!

Hakuna mazoezi magumu ndio maana kozi za POLISI Huwa wanamaliza wote kama walivyo Anza japo idadi ya wahitimu inaweza kupungua kutokana na baadhi ya kuruta kufukuzwa kwa makosa mbali mbali ama wengine kukimbia wenyewe na wachache sana Hupata maradhi ya kawaida ambayo hupelekea wao kufa...!

Ila sio kifo kinacho sababishwa na ugumu wa mazoezi...kozi ya POLISI sio ngumu kiasi Cha kusababisha kifo kama kozi nyinginezo japo na wao pia Wana makomandoo wao...​
Hao C.I.D wanachukuliwa wa level gani masta? na wanahusika na nini
 
Hao C.I.D wanachukuliwa wa level gani masta? na wanahusika na nini
Hata kidato Cha nne ila wenye ufaulu mkubwa...! Kipindi jeshi linaanzishwa darasa la 7 walikuwa wengi hivyo la saba...walipewa mafunzo ya C.I.D

Hawa ni wapelelezi au investigation officer wengi wao Huwa awavai uniform kabisa...na Kuna wengine awaripoti vituoni kabisa😂😂😂

POLISI Ina intelligence kubwa sana...!​
 
Hata kidato Cha nne ila wenye ufaulu mkubwa...! Kipindi jeshi linaanzishwa darasa la 7 walikuwa wengi hivyo la saba...walipewa mafunzo ya C.I.D

Hawa ni wapelelezi au investigation officer wengi wao Huwa awavai uniform kabisa...na Kuna wengine awaripoti vituoni kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]

POLISI Ina intelligence kubwa sana...!​
Asante kwa taarifa masta
 
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni🙏
Wewe nenda polisi dondoo za niniacheni woga nyie vijana sisi tumekaa jkt mwaka mzima bado tulikuwa tunapenda muda uongezwe nyie miezi mitatu inawatia hofu.
 
Back
Top Bottom