Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Aaaaah dah hapo uwakika..N
Naskia askari wa kawaida ukijumlisha mshahara na posho zake kwa mwezi anachukua kama 750000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaaah dah hapo uwakika..N
Naskia askari wa kawaida ukijumlisha mshahara na posho zake kwa mwezi anachukua kama 750000
Itabidi ukomae tu ivoivo aiseeDah upo na shida na cdhani kama nitaweza kwenda kusurvive uko
Huu mwezi wa saba unaweza kuisha nila info yoyote ile...?Itabidi ukomae tu ivoivo aisee
Daah sijajua aisee, sema wakishaita watu kwenye usaili apo hua hawachukui tena muda watu wanaenda ccpHuu mwezi wa saba unaweza kuisha nila info yoyote ile...?
Sawa sawa mkuuDaah sijajua aisee, sema wakishaita watu kwenye usaili apo hua hawachukui tena muda watu wanaenda ccp
Tuombe mungu mkuu pdf la usaili tuwepoSawa sawa mkuu
Ungesema ni shida gan huenda kuna wataalam humu wakakupa ushaurDah upo na shida na cdhani kama nitaweza kwenda kusurvive uko
Dah ni kweli nitaenda tuu ivoivo kama mambo yakiwa sawa kwenye pdfItabidi ukomae tu ivoivo aisee
Nilienda hospital wakanambia diski za chini ya mgongo zimevimba asa naona inakua kama kipengere tena duhUngesema ni shida gan huenda kuna wataalam humu wakakupa ushaur
Duh sio wa nane tena au wa TisaSoon kuanzia mwezi wa kumi wanaweza kuja kuongeza nguvu mtaani
Ahaa duh hapo changamotoNilienda hospital wakanambia diski za chini ya mgongo zimevimba asa naona inakua kama kipengere tena duh
Yeah sema kama itapita miezi miwili ndo kuripoti naamini nitakua kwenye Hali nzuri nitaenda ku force TuuAhaa duh hapo changamoto
👆👆Yeah sema kama itapita miezi miwili ndo kuripoti naamini nitakua kwenye Hali nzuri nitaenda ku force Tuu
Dah nilisha anza kupiga tizi la kukimbia. Nilikua nazunguuka kiwanja Cha mpra mara 12 Kila cku pamoja na vi push up vya hapa na pale Ndo nikaanza kuona iyo shidaJitahid kupiga mazoezi ya mwili kila siku asbh na jion, hii inaweza kukusaidia
Pole sana mkuu haupo pekee ako, nakushauri usifikirie sana fanya kama ujui kitu kama hauna tatizo lolote, ukipata nafasi nenda mengine yatajulikana ccpDah nilisha anza kupiga tizi la kukimbia. Nilikua nazunguuka kiwanja Cha mpra mara 12 Kila cku pamoja na vi push up vya hapa na pale Ndo nikaanza kuona iyo shida
Yeah ni kweli ukiangalia life lenyewe ili halieleweki MUNGU ajalie tuu alete wepesi ilimnadi tuu atupe nguvu na uwezo wa kwenda kupambania ugali na c vinginevyoPole sana mkuu haupo pekee ako, nakushauri usifikirie sana fanya kama ujui kitu kama hauna tatizo lolote, ukipata nafasi nenda mengine yatajulikana ccp
Amina🙏Yeah ni kweli ukiangalia life lenyewe ili halieleweki MUNGU ajalie tuu alete wepesi ilimnadi tuu atupe nguvu na uwezo wa kwenda kupambania ugali na c vinginevyo
Kila la kheri mkuuYeah sema kama itapita miezi miwili ndo kuripoti naamini nitakua kwenye Hali nzuri nitaenda ku force Tuu
🙏Kila la kheri mkuu