Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Jitahid kupiga mazoezi ya mwili kila siku asbh na jion, hii inaweza kukusaidia
Dah nilisha anza kupiga tizi la kukimbia. Nilikua nazunguuka kiwanja Cha mpra mara 12 Kila cku pamoja na vi push up vya hapa na pale Ndo nikaanza kuona iyo shida
 
Pole sana mkuu haupo pekee ako, nakushauri usifikirie sana fanya kama ujui kitu kama hauna tatizo lolote, ukipata nafasi nenda mengine yatajulikana ccp
 
Yeah ni kweli ukiangalia life lenyewe ili halieleweki MUNGU ajalie tuu alete wepesi ilimnadi tuu atupe nguvu na uwezo wa kwenda kupambania ugali na c vinginevyo
 
Back
Top Bottom