Mercenary2013
Senior Member
- Dec 24, 2013
- 105
- 171
Issue Ya Mwili Kukataa Ipo Sana... Kuna Muda Hamna Budi Ku Force Mwili Mambo YaendeNi kweli lakini kaka c unajua tena wengine tunaforce tuu sio kwamba hatupendi bali Kuna muda mwili unakusaliti
Kuna Watu Walikuwa Madokta/Mafundi Ila Walikata Vitengo... Ukipata Nafasi Ya Kitengo Kubali Ila Jua Kwamba Upambane Kufahamu Issue Mafunzo mengine muhimu ambayo Wenzako wameyapata.
Acha kujisifu kwa kuwaoshea wenzako kuhusu kitengo chako... Kitengo hakidumu hadi mkoani ni muhimu kujua kazi utakazoenda kufanya mkoani utakapopangwa.
MKOANI KWA RPC/DCO Hawajui kwamba ulikuwa kitengo wanajua ulikuwa MAFUNZONI Na Lazima Utekeleze Utakachoelekezwa.