Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Mkuu amini nachokuambia..
Polisi kuita watu mpaka mwezi wa tisa...

Hii imekaa kibajeti zaidi
Sasa kama ni hivo kwann walitangaza ajira tangu tareh10 mwez wa5 tena wakakazia mwisho wa kutuma maombi ni tareh16 mwez uo uo!πŸ€”β€¦..aisee kama kweli ni hivo mpka mwez wa9 bac ntaamin hawa jamaa wanashida sio bure
 
Mkuu

Mkuu unanichekesha tena na ilo jina lako ndo nacheka zaidπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β€¦β€¦mm sina mkuu tukomae tu mpka watakavotoa majina
Au kama vip tukitane kigamboni kesho

Kampuni ya JOVS ECOGREEN COMPANY LTD wanatanga ajira kwenye nafasi zifwatazo
1. Wapishi/watengenezaji wa mikate ( awe na ujuzi )
2. Watengenezaji wa yoghurt ( utafundishwa kiwandan)
3. Muhasibu ( awe na vyeti vya kitaaruma)
4. Wasambazaji wa bidhaa za kampuni
5. Afisa masoko( awe amesomea course zinazohusiana na maswala ya masoko kwa ngazi ya diploma au degree)
6. Usafi eneo la kiwanda

INTERVIEW NI TAREHE 18 JULY

Kiwanda kipo DAR ES SALAAM, KIGAMBON, DARAJAN ( NUNGE)

Msaidie mwenzako Fursa na Ajira kwa ku-share link
 
Pamoja sna mkuuβœŠβ€¦.we nenda tu kapige mchakato maana wengne tumetoka njee ya jiji kdgo alaf na siku yenyewe ni kesho
 
Au kama vip tukitane kigamboni kesho

Kampuni ya JOVS ECOGREEN COMPANY LTD wanatanga ajira kwenye nafasi zifwatazo
1. Wapishi/watengenezaji wa mikate ( awe na ujuzi )
2. Watengenezaji wa yoghurt ( utafundishwa kiwandan)
3. Muhasibu ( awe na vyeti vya kitaaruma)
4. Wasambazaji wa bidhaa za kampuni
5. Afisa masoko( awe amesomea course zinazohusiana na maswala ya masoko kwa ngazi ya diploma au degree)
6. Usafi eneo la kiwanda

INTERVIEW NI TAREHE 18 JULY

Kiwanda kipo DAR ES SALAAM, KIGAMBON, DARAJAN ( NUNGE)

Msaidie mwenzako Fursa na Ajira kwa ku-share link
Ukipata mchongo mwingine wa siku za mbeleni tuwekee humu mkuu
 
Sasa kama ni hivo kwann walitangaza ajira tangu tareh10 mwez wa5 tena wakakazia mwisho wa kutuma maombi ni tareh16 mwez uo uo!πŸ€”β€¦..aisee kama kweli ni hivo mpka mwez wa9 bac ntaamin hawa jamaa wanashida sio bure
Mchakato wa kuanza ku pick watu hata bado ujaanza mkuu..

Wamefanya vile ili wapate mda merefu wa kuchambua data
 
N

Nani kakupa iyo lonja mkuu…..au kaamua akujambishe kwanza maana watu wanapenda sana kututetemesha sisi majoblessπŸ˜„
Hapana mkuu...
Hata mi mwanzoni wakati anasema nikajua ni ujanja ujanja ila.

Ni kweli mkuu huko kuna mambo ya hovyo, tuombe mungu tu
 
Kusema Interview Hadi Mwezi Wa 9 Sio Kwelii... Labda Kwa Utaratibu Wao Wa Mwaka Huu Ila Kwa Navyo fahamu Hata Usaili Za Nyuma Mara Nyingi Huwa Ni Miezi 2 Au Moja Na Nusu Ndo HUFANYIKA...

Ila Kuitwa Kwenda CCP Kuripoti Kwa Mafunzo Huchukua Miezi 2

Me Nadhani Majina Ya Usaili Kutoka Yamechelewa Sana Na Yatachelewa Sababu Ya Wingi Wa Watu Walioomba Nafasi Kadhaa..

Hivi Fikiria Mtu Yoyote Yule Mwenye Vigezo Ameomba Bila Hata Kuzingatia Vigezo Vya VYETI VYA JKT...

ME NAAMINI HATA USAILI WATAITWA WENGI SANA NA MCHAKATO UTAKUWA MREFU ZAIDI....

Muhimu Wakuu Wakati Nasubiri Usaili Endeleeeni Kufanya Issue Nyingine Wakati Mkisubiri Usaili
 
Back
Top Bottom