Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Acha zako ww..Muende mmevaa hakuna pakubadilishia nguo msije sema hatukusema
Usaili tuu mnata kutuplkesha hv... We kuweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha zako ww..Muende mmevaa hakuna pakubadilishia nguo msije sema hatukusema
Unataka uende na suti kakaAcha zako ww..
Usaili tuu mnata kutuplkesha hv... We kuweza
Wilayani (ofisi za mkuu wa wilaya)Wewe unafikia wapi? Maana wengine hawajua hata usaili unafanyikia wapi, maana tangazo linasema wa kidato cha 4 na 6 usaili utakua mikoani walipoombea bile kutaja eneo husika
Wilayani (ofisi za mkuu wa wilaya)
wilayani mfano TEMEKE, kinondoni au Ilalasio mkoani ndugu??
Labda baadhi ya mikoa ambayo waombaji wakuchagua wilayawilayani mfano TEMEKE, kinondoni au Ilala
hapo uwemwazungumzia wale wa dar......wilayani mfano TEMEKE, kinondoni au Ilala
Kwani naenda coze pale mpaka nivae piti shotiUnataka uende na suti kaka
kama pametajwa mkoa utaenda mkoani na waliotajiwa wilaya utaenda wilayanihapo uwemwazungumzia wale wa dar......
ila huko mikoani umetajwa mkoa tu sio wilaya.
labda kama usahili unafanyika makao makuu ya mkoa husika.
Nguo za michezo ni track, jezi na raha usiende na kichupiKwani naenda coze pale mpaka nivae piti shoti
Serious kwenye usaili unaeenda umevaa track..!!!Nguo za michezo ni track, jezi na raha usiende na kichupi
Ndio nenda na suti yako utabadilishia wapi sijuiSerious kwenye usaili unaeenda umevaa track..!!!
Ubadilishe kwa ajili ya nn....??Ndio nenda na suti yako utabadilishia wapi sijui
ujui kama interview itahusu mazoez pia?Ubadilishe kwa ajili ya nn....??
Ahahaha daaah sawa...ujui kama interview itahusu mazoez pia?
kaka umeanza kuleta doso za Jakata kwako kule😂😂Ahahaha daaah sawa...
Tunawasbr kwa hamu tuwakamie....
Tuwanyooshe..
Tuwashone
maswali ya kitoto tu lbd kwa wale wa fani ndo wanaeza gusiwa na mambo ya course zao ila wew jua t zle common qns na lugha ni kiswahl pia mvijue vyeo vya polisi na baadh ya viongoz wakubwaMfano wa maswali yanayoulizwa ni yapi?
Ongea sana..kaka umeanza kuleta doso za Jakata kwako kule😂😂