Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Nijuavyo usaili wa hawa jamaa hauihitaji mbwembwe wala kujuana kwingi mtangulize Mungu kwakila hatua
 
Hii ni ukweli kabisa ukitaka kupata kazi hii ya polisi ni vzr ukajifanya mjinga ila ukijifanya ww ni mjuaj sijui umesoma aloo kila siku utakua unapigwa chin
Umepishana na Gari la mshahara mzee, katika fani za dhahabu hapo Polisi basi ya kwanza ni Computer science na IT ukiwa na hizo fani wewe kikubwa upite kwenye Doso tu vumilia hapo tu basi, ukitoka hapo ni moja kwa moja coz ndio watu wanaohitajika saaaaaana kushinda hao form 4 na 6

Sasa kama ulificha cheti chako ukitegemea utapenya kirahisi basi imekula kwako maana hata ukipenya, utakuwa mlinzi wa bank kigoma kwa miaka 3 ndo uruhusiwe kusoma ambapo ndo utatoa cheti chako ila kama Ulikitoa toka mwanzo tena IT 🫡🫡🫡 Moja kwa Moja Central kwenye kiyoyozi, sio kituoni kwenye vumbi!

Na sasa hv jeshi linatoka kwenye zama za analojia wanaenda kidigitali wanataka sana watu wa Technology sasa wewe umeficha cheti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
we

hizo unazoziita fani za dhahabu umefatilia ugumu wa kupata nafasi zake mkuu, usaili wa vyombo ni mgumu kwa wenye fani hujui tu huu ni usaili wangu wa nane kwenye hivi vyombo najua ugumu wake hizo shahada utakuja ushangae pdf zitabaki chini ya mia bara na visiwani jumla afu four na six kama elf 3
 
sasa huko kwenye doso nafikaje kama sijapita usaili mimi nazungumzia kupita kwenye usaili kwa degree wewe unazungumzia maisha ya askari aliye ajiliwa unahisi unachukuliwa wa tu wenye IT watu elf arobaini wote tuliomba wanatupeleka kwenye kiyoyozi form four kweny benki iyo ya kigoma aucio
 
jifunze kusoma nchi yako inapoelekea usibaki na mawazo ya akina chimulenga war
 
Kuna mwanang kafika mbeya apo kaenda mpka kweny ofisi ya RPC kuchek mazingira ya atakapoenda j3 kupiga usail kwahyo kaambiwa ajiandae kwa dosoo….ohoo litapigwa doso hiloo lakufa mtuu[emoji23][emoji23]

doso ndo nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nasikia maswali ni general wadau ko msijichoshe kusoma mambo ya fani zenu Kwa wale wa fani kurasini
Mmh sjui kuhusu oral ila kama kutakuwa na written ni mtaulizwa maswali ya fani.. jichanganye
 
Uwongo uwongo uwongo mkubwaa, acha kuwaongopea vijana humu…….watu wa degree wanaohitajika ni wachache….watu wa degree hawatozid100 bt watu wa form4 na form6 watakua ni zaid ya 2700 kwenda ccp
Umepishana na Gari la mshahara mzee, katika fani za dhahabu hapo Polisi basi ya kwanza ni Computer science na IT ukiwa na hizo fani wewe kikubwa upite kwenye Doso tu vumilia hapo tu basi, ukitoka hapo ni moja kwa moja coz ndio watu wanaohitajika saaaaaana kushinda hao form 4 na 6

Sasa kama ulificha cheti chako ukitegemea utapenya kirahisi basi imekula kwako maana hata ukipenya, utakuwa mlinzi wa bank kigoma kwa miaka 3 ndo uruhusiwe kusoma ambapo ndo utatoa cheti chako ila kama Ulikitoa toka mwanzo tena IT 🫡🫡🫡 Moja kwa Moja Central kwenye kiyoyozi, sio kituoni kwenye vumbi!

Na sasa hv jeshi linatoka kwenye zama za analojia wanaenda kidigitali wanataka sana watu wa Technology sasa wewe umeficha cheti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unasema coz za dhahabu ni IT na computer science sawa nakukubalia ila swali linakuja jee hao watu wanaitajika wangap??…..hao watu wa izo coz wanaohitajika hawawez zid 15 alafu walioomba unakuta ni zaidi ya 800 hiv unategemea nn apo🤔…..alafu nakukumbusha pia kuna wale makamishna wazee wa mikasi na wao wana watoto wao waliosoma izo coz unazoziita za dhahabu, hivi we unafikir ataacha wanae waende wakachakae mtaan na fursa ioo anaiona….tumia akili kijana kupita kwa degree hua kuna ugumu unless otherwise uwe na mbanga ya uhakika…..nna wanangu wana degree za mechanical engeneering GPA safii
Umepishana na Gari la mshahara mzee, katika fani za dhahabu hapo Polisi basi ya kwanza ni Computer science na IT ukiwa na hizo fani wewe kikubwa upite kwenye Doso tu vumilia hapo tu basi, ukitoka hapo ni moja kwa moja coz ndio watu wanaohitajika saaaaaana kushinda hao form 4 na 6

Sasa kama ulificha cheti chako ukitegemea utapenya kirahisi basi imekula kwako maana hata ukipenya, utakuwa mlinzi wa bank kigoma kwa miaka 3 ndo uruhusiwe kusoma ambapo ndo utatoa cheti chako ila kama Ulikitoa toka mwanzo tena IT 🫡🫡🫡 Moja kwa Moja Central kwenye kiyoyozi, sio kituoni kwenye vumbi!

Na sasa hv jeshi linatoka kwenye zama za analojia wanaenda kidigitali wanataka sana watu wa Technology sasa wewe umeficha cheti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

lakin kweny majina tu haya wamepigwa chin alaf mm nilietumia chet cha6 jina lipo safii tu now wanasema bora wangetumia chet cha6
 
Polisi ukijifanya una elmu nzur utapigwa chini alaf wenzako wale wanaendaa
 
Uy
we

hizo unazoziita fani za dhahabu umefatilia ugumu wa kupata nafasi zake mkuu, usaili wa vyombo ni mgumu kwa wenye fani hujui tu huu ni usaili wangu wa nane kwenye hivi vyombo najua ugumu wake hizo shahada utakuja ushangae pdf zitabaki chini ya mia bara na visiwani jumla afu four na six kama elf 3
uyo jamaa hajui kitu….nisaidie kumwambia mkuu
 
sasa huko kwenye doso nafikaje kama sijapita usaili mimi nazungumzia kupita kwenye usaili kwa degree wewe unazungumzia maisha ya askari aliye ajiliwa unahisi unachukuliwa wa tu wenye IT watu elf arobaini wote tuliomba wanatupeleka kwenye kiyoyozi form four kweny benki iyo ya kigoma aucio
Anafikiri mambo ni marahisi tuu😂😂😂
 
Ukiachana na mbanga, haya mambo ni bahati nasibu. Probability za kupata na kukosa ni 50/50 GPA au division doesnt matter. Kwaio tusivunjane moyo lakini pia tusijiamini sanaa. Jiandae kwa kadri unavyoweza ayo mengine muachie muumba aamue.
“Do your best, let The Lord do the rest”
 
Wakuu wakuuu kwa wale wa degree mnaofanya usail dar tafuta mbanga mapema ohooo!….utaishia kuona kila siku wenzako wanavaa nyota alafu uanze kusema umelogwa kumbe wala hujalogwa….narudia pambana utafute mbanga mchuano ni mkali sana
 
Back
Top Bottom