Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni🙏
Madogo walimiminika kwa winginkupima vipimo vya awali hapa hosp jumamosi na jumapili
 
Mkoani hawapimi macho navyojua ila mkienda CCP wanapima uwezo wa kusoma mbali...

Siku Ya kupimwa Afya katika upande wa macho Kutakuwa na ubao mbele wenye alphabet mbalimbali kisha utaambiwa ukae umbali wa almost 5 Mita au zaidi ili waweze kukupima uwezo wa kuona mbali, lakini pia utaambiwa uoneshe uelekeo wa Alphabet husika kama ni kulia, kushoto, juu ama chini

Ni zoezi simple sana.... Muhimu ukishaingia CCP Hamna mambo mengi sana... All The Best
Ni ugonjwa wa mda mfupi au upofu WA kidum ndo unaangaliwa
 
Maisha yanazidi kuwa magumu. Kitambo kidogo tu Ajira za Polisi na Ualimu zilionekana ni ajira za vijana waliotoka familia za chini (masikini/dunj) leo hii watu wanahonga 4M wapate nafasi!? Tujipange sana wazee, huko mbele ni kugumu zaidi.
 
Za chinichini watu wameingia ofisin wakat wa kuhakiki vyeti wanamsikia afande anaeendesha zoezi la usail anaongea na simu akisema kua “mkeka tayar wakubwa washaubarik kwahiyo siwez ongeza mtu”
 
Yani mbanga zinajipiga vikumbo zenyewe kwa zenyewe huko alaf na ww usie na mbanga unataka upite alooo noma sana😂😂
Za chinichini watu wameingia ofisin wakat wa kuhakiki vyeti wanamsikia afande anaeendesha zoezi la usail anaongea na simu akisema kua “mkeka tayar wakubwa washaubarik kwahiyo siwez ongeza mtu”
 
Za chinichini watu wameingia ofisin wakat wa kuhakiki vyeti wanamsikia afande anaeendesha zoezi la usail anaongea na simu akisema kua “mkeka tayar wakubwa washaubarik kwahiyo siwez ongeza mtu”
Watu walisema hapa jamaa angu alietoa mpunga kapigiwa Mara ooh bora angefanya biashara.. Wakuu Haya mambo bila mbanga/Mbuyu hutoboi. MKONO MTUPU HAULAMBWI
 
Za chinichini watu wameingia ofisin wakat wa kuhakiki vyeti wanamsikia afande anaeendesha zoezi la usail anaongea na simu akisema kua “mkeka tayar wakubwa washaubarik kwahiyo siwez ongeza mtu”
Uyo mtu inaonekana ni afande pia alikua anaomba jina la mtoto wake lipachikwe kwenye mkeka then afande kagoma kamwambia wakubwa washaubarik mkeka kwahyo hamna nafas……tutatoboa kweli wakuu?😢
 
Duuuh hatariiii Sana twafaa
Watoto wa maskin kwa hiyo wasahau ajira
Inaumiza mnooo wakuu ebu angalieni hili suala
 
Back
Top Bottom