King TKM
Member
- Aug 31, 2015
- 51
- 13
😂😂😂😂Hongera kwa kufanya maamuzi magumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Hongera kwa kufanya maamuzi magumu
Nikikumbuka wakati naomba kazi Polisi tulikuwa tunalazimishwa,hata mimi ni kama nililazimishwa tu kwenda Depo,ndio maana hata kuacha kazi niliacha ndani ya masaa 24
Depo CCP hakuna kitu kigeni maana vyote kuanzia mchakamchaka saa 9 alfajiri ni vya kawaida,labda usafi wa kunyoosha mavazi na ule UNGA WA WANGA(Starch)wanaowapa ndio huwa inasumbua mwanzoni,lakini ukishazoea jinsi ya kuuchemsha na kupiga pasi ni simple tu,sijajua posho Kuruta wanapewa shilingi ngapi kwa sasa mwisho wa mwezi,mimi nilipoingia Depo Juni 1998 tulikuwa tunalipwa 10,000 kila mwisho wa mweziKigezo Cha kushikwa 🍒kilikuwepo kipindi hicho😂😂
Hiyo ni 2000 kurudi nyuma 🤔Nikikumbuka wakati naomba kazi Polisi tulikuwa tunalazimishwa,hata mimi ni kama nililazimishwa tu kwenda Depo,ndio maana hata kuacha kazi niliacha ndani ya masaa 24
15/09
15/09
Depo CCP hakuna kitu kigeni maana vyote kuanzia mchakamchaka saa 9 alfajiri ni vya kawaida,labda usafi wa kunyoosha mavazi na ule UNGA WA WANGA(Starch)wanaowapa ndio huwa inasumbua mwanzoni,lakini ukishazoea jinsi ya kuuchemsha na kupiga pasi ni simple tu,sijajua posho Kuruta wanapewa shilingi ngapi kwa sasa mwisho wa mwezi,mimi nilipoingia Depo Juni 1998 tulikuwa tunalipwa 10,000 kila mwisho wa mwezi
Nmesikia sina ivyoKwamba ndo PDF linaachiwa iyo tarehe?
Hongera sana kwa roho yako nzuri japo nilitamani kuingia uku lakini kwa degree wametukataa hongera mkuu.Hapa nilipokuwa Depo 1998,hayo magwanda ndio hilo hapo unaona napambana kulinyosha na pembeni nina mustini wenye huo uji napigia pasa
Anhaaa apo nimekuelewa vzr mkuu, asante kwa kunijuzaAskari Polisi anatakiwa awe na Uniform Smart na zilizonyooshwa vizuri wakati wote.Sasa kule Depo huwa wanawapa magwanda ya khaki(Suruali,Shati na Kofia).Hayo unatakiwa uingie nayo Parade asubuhi yakiwa safi yamenyooka kwelikweli na Buti linang'aa umeling'arisha kwa kiwi. Ukikamatwa mchafu kwamba hukunyosha vizuri ni Adhabu. Sasa hayo magwanda hayawezi kunyooka vizuri bila kupaka UNGA unaitwa STACHI(ni UNGA mnapewa ambao unatakiwa unauchemsha unakuwa kama uji unagandaganda kama Shahawa).Kwa hiyo unauchovya unapaka kwenye hilo gwanda ndio unapitisha pasi ya moto ndio linanyooka hatari. Kwa hiyo nature ya kitambaa cha hayo magwanda Ili yanyoke ni lazima upake huo UNGA kama uji ndio unapitisha pasi.
Shukran….ngoja tusubir PDF tuone itakuajeHapa nilipokuwa Depo 1998,hayo magwanda ndio hilo hapo unaona napambana kulinyosha na pembeni nina mustini wenye huo uji napigia pasa
Unatania ?Hiv kwa tulioomba PT na JWTZ majina yakitoka sawa alaf mtu umechaguliwa kote mnashaur mtu aende wap et wakuu??
Unatania ?
Watu wengi sana wataendaMaximum ya idadi majina yanayo hitajika hivi ni mangapi ?