Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Kigezo Cha kushikwa 🍒kilikuwepo kipindi hicho😂😂
Depo CCP hakuna kitu kigeni maana vyote kuanzia mchakamchaka saa 9 alfajiri ni vya kawaida,labda usafi wa kunyoosha mavazi na ule UNGA WA WANGA(Starch)wanaowapa ndio huwa inasumbua mwanzoni,lakini ukishazoea jinsi ya kuuchemsha na kupiga pasi ni simple tu,sijajua posho Kuruta wanapewa shilingi ngapi kwa sasa mwisho wa mwezi,mimi nilipoingia Depo Juni 1998 tulikuwa tunalipwa 10,000 kila mwisho wa mwezi
 
Kuna kazi ya kuchemsha unga tena?!

Hapa nilipokuwa Depo 1998,hayo magwanda ndio hilo hapo unaona napambana kulinyosha na pembeni nina mustini wenye huo uji napigia pasa
Hongera sana kwa roho yako nzuri japo nilitamani kuingia uku lakini kwa degree wametukataa hongera mkuu.
 
Askari Polisi anatakiwa awe na Uniform Smart na zilizonyooshwa vizuri wakati wote.Sasa kule Depo huwa wanawapa magwanda ya khaki(Suruali,Shati na Kofia).Hayo unatakiwa uingie nayo Parade asubuhi yakiwa safi yamenyooka kwelikweli na Buti linang'aa umeling'arisha kwa kiwi. Ukikamatwa mchafu kwamba hukunyosha vizuri ni Adhabu. Sasa hayo magwanda hayawezi kunyooka vizuri bila kupaka UNGA unaitwa STACHI(ni UNGA mnapewa ambao unatakiwa unauchemsha unakuwa kama uji unagandaganda kama Shahawa).Kwa hiyo unauchovya unapaka kwenye hilo gwanda ndio unapitisha pasi ya moto ndio linanyooka hatari. Kwa hiyo nature ya kitambaa cha hayo magwanda Ili yanyoke ni lazima upake huo UNGA kama uji ndio unapitisha pasi.
Anhaaa apo nimekuelewa vzr mkuu, asante kwa kunijuza
 
Hiv kwa tulioomba PT na JWTZ majina yakitoka sawa alaf mtu umechaguliwa kote mnashaur mtu aende wap et wakuu??
 
Kwa lonja nilionayo wale walio kambin JWTZ week hii wanaanza kuita majina ya wanaoenda rts, jana pale 832 kj ruvu walifolenishwa tayar kwa kuitwa majina bt ikapigwa aziwea wanawasubir watu kutoka msomera kwahyo na wale tulioomba JWTZ huku uraiani nafkr tutajumuishwa na hawa kweny usaili kwahyo nahis mambo yameanza kuiva uko wakuu
 
Back
Top Bottom