Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Mnataka kuwa majambazi wapya, poleni, huko mbeleni polisi mtakuwa na hali ngumu sana.
Gen Z itawamaliza
kazi kuleta dharau tu kwenye vyombo vya dora ila mkipakwa mafuta na vibaka mnakimbilia kwa haohao mnaowatukana
 
kuna tofauti kati ya watu kuripot na kozi kufunguliwa, kozi inaaza miezi(1-2) baada ya kuripoti inatakiwa hao wakimaliza huo mwezi 25/10 kozi ifunguliwe inamaana watu wawe wamemaliza uzalendo lazima waende wa tisa huu huu tena pdf ikitoka 15/9 wataripot had 19 au 20/9 kufikia 25/10 inaanza
Pamoja mkuu🤝
 
kazi kuleta dharau tu kwenye vyombo vya dora ila mkipakwa mafuta na vibaka mnakimbilia kwa haohao mnaowatukana
Wakipakwa mafuta na vibaka wanakimbilia polisi sio 😂 😂
 
S
Hivi kumbe hapo ccp Moshi Wana ruhusu kutumia simu ??? NDANI ya chuo Kwa. Makuruta ??
Simu hakuna mzee ila kwa mazingira ya sasa naona kumelegeaa maana recruits wanapata sana simu za magendo....mambo mengi yamebadilika kwenye kozi ya PT kwa hvi sasaa
 
Utaratibu mfano mwaka jana kwa mkoa niliopo mimii....tarehe ya kuripoti ilivotoka (kwenye PDF) waliondokea kwa RPC na basi la Polisi la mkoani hapo na wale wa makao makuu ndo hua vivyohivyoo.
Anhaa….shukrani mkuu🤝
 
S

Simu hakuna mzee ila kwa mazingira ya sasa naona kumelegeaa maana recruits wanapata sana simu za magendo....mambo mengi yamebadilika kwenye kozi ya PT kwa hvi sasaa
Unataka kusema kua wapo kuruta wanaotumia simu uko ccp?
 
Unataka kusema kua wapo kuruta wanaotumia simu uko
Issue Ya Simu Ni Marufuku, CCP bado simu wanakaza sana....

Depo iliyopita J4 Mwezi mmoja kabla kuna miamba wawili mmoja alikutwa na simu anaongea nayo Bwenini akafukuzwa pia mwingine alikutwa na Betri ya simu akafukuzwa...

CCP Ukikamatwa na simu unakaa ndani kituoni wiki au zaidi ndo baadae unafukuzwa mbele ya wenzako wote...

Ukiwa na uhitaji wa simu unamuona OC Kombania au Afande yoyote wa Kombania kwa msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom