Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

nimejaribu kuusoma member wa uzii huu nimejifunza mengi sana nimejifunza kuhusu bahati usubutu matumaini vijana wenye maarifa makubwa sana kiasi ambacho muda wao wanautumia kutafuta ajira for future ilo jambo limenifurahisha sana nawatakia mafunzo mema muliopata ajira izo na si mungu atufunguliie njia tuupate
 
Assalam Alleykum
Bogi la kwanza wataripoti 27/09/2024.. Hizi ni habari za uhakika kabisa so anyday kuanzia leo kesho PDF litatoka na wakuu washalibariki.

Bogi la pili litakuwa 04/11/2024 na Bogi la tatu ni 10/02/2025 (hizi nafasi zitatangazwa mwshoni mwa mwaka huu) wa UT nao jiandaeni mwezi ujao watu wanahitimu na mwsho wa mwaka nafasi zinatangazwa lkn km kawaida ni finyu na ni za kujuana hakuna mfano
Data zako hazijaenda sawa sijaona bogi la pili wala latatu vipi source ya taarifa zako hazikwenda sawa mkuu
 
Back
Top Bottom