Scania 113
Member
- Apr 3, 2020
- 25
- 129
Habari za mda huu
Nahitaji mchango wenu wa mawazo katika hili ni kwamba nina eneo langu la wazi linatazamana na kituo ch mafuta ambach hakijaa anza kufanya kazi bado hili eneo kama mnavyojua sasa hivi matumizi ya mabanda au vibanda vya biashara ni changamoto sana. Sasa kun wazo nimepewa lakini nimeshindwa kufuma utaratibu wake pia sijajua kama inafaa kweli au halifai
Wazo lenyewe ni kuweka kituo cha boda boda ambacho nitakua natoza ushuru kiasi furan kwa siku lakini wawe wanalipa kwa mkupuo wa mwezi mmoja mmoja. Hii imekaaaje wadau ?