Tupeane utaratibu

Tupeane utaratibu

Scania 113

Member
Joined
Apr 3, 2020
Posts
25
Reaction score
129
Habari za mda huu

Nahitaji mchango wenu wa mawazo katika hili ni kwamba nina eneo langu la wazi linatazamana na kituo ch mafuta ambach hakijaa anza kufanya kazi bado hili eneo kama mnavyojua sasa hivi matumizi ya mabanda au vibanda vya biashara ni changamoto sana. Sasa kun wazo nimepewa lakini nimeshindwa kufuma utaratibu wake pia sijajua kama inafaa kweli au halifai
Wazo lenyewe ni kuweka kituo cha boda boda ambacho nitakua natoza ushuru kiasi furan kwa siku lakini wawe wanalipa kwa mkupuo wa mwezi mmoja mmoja. Hii imekaaaje wadau ?
 
Labda ulijengee fence hilo eneo lakk. Vinginevyo utaingia kwenye mgogoro na serikali ya mtaa na mwisho wa siku utadhurumiwa hilo kwasababu wataanza kulichukulia kama eneo la watu na wewe ndio umevamia.
 
Hilo nalo neno, lakin ni eneo langu hta kwa macho mana eneo hilo la wazi lipo mbele ya frem zangu,, kuanzia fremu zilipo ishia mpka kwnye mpaka ni kama meter nne na nusu alaf inafuata mfereji, barabara ya mtaa then ndio inafuata sheli....sasa hapa kati kati kwenye huu uwazi nataka niweke boda boda walipe 300 kwa siku wakiwa hata 15 - 20 sio mbaya Mkaruka
 
Back
Top Bottom