Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

1.Nishatengeneza business plan ya 'mobile app' flani hivii ..the idea ikawa viable kabisa
Kuiuza/kuitekeleza ikawa kasheshe....japo pia nlikua mdogo sikua serious sana nayo..mwishowe....nkaachana nayo

2. Tukaanzisha Kampuni as a group tutafte investors ili tufungue kitu flani..hii nayo sio shughuli ndogo...nikaona hela zinachelewa nikaachana nayo

3.Saivi Nasoma forex sijaweka hela yoyote bado natafakari tu-najipa mwaka mzima kwny hii shughuli ntaamua rasmi 2021

bado naumiza kichwa biashara ipi sahihi kwangu

Ntasoma huu uzi wote kuboresha mawazo yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…