Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Hapo kwenye kufanya kazi wanajua wenyewe wateja[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Na itakuwa unawapata kweli
 
Na changamoto kubwa katika kilimo ni usimamizi mzuri. Unakuta mtu yuko Dar ila anajiita mkulima kwa kuwa na shamba la mpunga huko Kyela. Kila siku unapigiwa simu mara mbolea inahitajika, mara dawa unatuma hela, mtu anaenda kupiga picha shamba la jirani kisha anakutumia. Basi unajua mavuno yatakuwa ni mazuri. Ukifika msimu wa mavuno jiandae kupokea Breaking News.
😂😂 kuwa atakutana na Breaking News noma sana, kuna raia wananivuta na pesa yangu niwekezeke huko Bush majarubani wao watasimamia show nzima ya usimamizi. Ila kwa jinsi ninavyowajua naogopa kukutana na Breaking News aisee bora nikae na pesa yangu.
 
Jamaa wa Greenhouse watakuuzia vifaa,madawa,mbegu etc ikifika muda wa kutafuta soko la hizo nyanya&mbogamboga nakwambia utazila na familia yako na majirani mkuu.
Sio kwamba kwenye greehouse unaweza kufanya timing nzuri ukalima kipindi cha demand kubwa yani masika sababu greenhouse technology inaruhusu?
 
Sio kwamba kwenye greehouse unaweza kufanya timing nzuri ukalima kipindi cha demand kubwa yani masika sababu greenhouse technology inaruhusu?
Ni wewe tu na timing zako mkuu,lkn ujue wale jamaa wakiwa wanakusetia hio greenhouse story wanakupa za kutia moyo za kufa mtu na sound za kukutafutia masoko sijui nini ila subiri sasa umalize kazi uwalipe chao ndio utajionea kwanini kilimo kiliitwa ni uti wa mgongo mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Niliwahi shiriki kilimo cha mpunga cha kutegemea mvua. Niliishia kuvuna fedheha. Nililima misimu miwili. Imagine kwenye plot ambayo the precious year imetoa gunia 25 we unavuna gunia 5. Msimu ujao nasubiri mavuno kisha ninunue zangu mzigo niweke stoo niuuze soko likikaa vizuri.
Kama uliweka huduma zote zinazo takiwa basi hapo kuna mchezo umefanyiwa na majirani maana kuna people vijijini wana roho mbaya sana.
 
Bishara ya kuza dawa za chooni aiseee nilikutana na changamoto Sana ila hili la mteja mmoja kunikabidhi dekio chafu ni lisugue kwa dawa likitakata ndo anunue sikulivumilia na kupiga chini hiyo biashara
dekio lilikua na mavi mavi Mkuu?
 
Mkuu hii inaitaji akili na kipaji pia alafu usipingane na nafsi yako huku ukiwa risk taker Mimi niliwai better 450 bet power team 24 nikachomoka na laki Saba na sitina tisa elfu kila mtu alishika mdomo
Mkuu endelea kebet ndo mahala pako
 
Bishara ya kuza dawa za chooni aiseee nilikutana na changamoto Sana ila hili la mteja mmoja kunikabidhi dekio chafu ni lisugue kwa dawa likitakata ndo anunue sikulivumilia na kupiga chini hiyo biashara
hahahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom