white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Sio biashara hiyo, ila ni ile uonekane tu una biashara!! Pikipiki mpya kwa sasa hadi 2.5 milioni, unampa mtu kwa mkataba wa mwaka ambapo kila siku atakuletea 10,000,kwa mwezi ni 300,000 kwa mwaka ni3. 6 milioni, faida hapo ni kama 1.1 milioni, na sio rahisi kuipata pesa yotekwa mwezibila longo longo, ukitafuta faida halisi hapo kwa mwezi ni kama 100,000/!!!!!!bado wasiwasi wa kuibiwa.Kama utakuwa na pesa ya ziada na una uwezo wa kutunza pesa unampa mtu mkataba wa bodaboda kuanzia miezi 10 had 12 kulingana na aina ya pikipik na mahali ingawa pia anatakiwa awe na dhamana na wadhamini. Labda inaweza saidia..., vinginevyo upate kichwa iliyotuliwa sana, mana vijana wanae wenge sana barabarani.