Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 373
- 467
Wana jf ushamba mzigo mwenzenu Msukuma Mimi wa Maganzo siku ya kwanza kununua gari langu binafsi nlikuwa nachungulia nje kila wakati Yani usingizi hauji naangalia crown yangu(ndege ya ardhini).
Mtaani misele walikoma nlipita mitaa ya ma x zangu wote sinza, keko,buguruni kwamnyamani hadi mburahati.
Yani usiku kucha sikulala ,picha Kama zote na status za kibabe.
Wandugu hebu tupeane uzoefu siku yako ya kwanza kununua gari ilikuwaje?
Tukumbuke hata wenye ist wanaruhusiwa kuchangia mada na hata wale waliohongwa pia rukhsa kutoa ushuhuda.