vulturine fowl
Senior Member
- Jan 13, 2022
- 168
- 173
Imekubana mpaka unaha poleKwa hiyo ukiwa na gari unakuwaje, hebu nieleweshe hapo. Ubaonekana tahmjiri au unakuwaje wakati unajulikana umepanga nyumba!
Imekubana mpaka unaha poleKwa hiyo ukiwa na gari unakuwaje, hebu nieleweshe hapo. Ubaonekana tahmjiri au unakuwaje wakati unajulikana umepanga nyumba!
Imekubana mpaka unaha pole
Fanya yoote ila avoid kuazimisha mtu gar ambae si ndugu yako wa damu.. utakuja lia mzee.. mim nilikua na kagar kangu fulan hiv aisee.. kuna bwege mmoja tumeenda club tuko ndan akanambia bro naomba funguo nikachukue pombe kwenye gar et aliiacha nyag yake.. nikampa kumbe alikua na plan za kusepa na gar.. af alikua kalewa flan.. akachkua kaenda nayo sinza kutoka posta.. akala mzinga ku.ma ma.ke.. had leo sjamsamehe na urafik uliisha... Mnduku kabisa yule bwege .. na alikua best friendNa mimi nililifunga alarm ilikuwa inasumbua kweli si usiku si mchina maana eneo nililokuwa naishi kulikuwa na watoto wakipita wanaligusagusa linapiga kelele. Nilipozoea nikaona alarm upimbi nikayachomoa kwanza yanaharibu betri.
Halafu baada ya kulizoea likawa gari la masela kila mwenye kutaka nampa hadi wakalipiga na mzinga kabisa lakini hapo lishakongoroka kinoma ndani ya mua mfupi.
Nikaliuza kwa hasara na kununua lingine hapo nilikuwa nishajifunza sitaki mtu aje kuazima.
🤣🤣🤣Pole sana ndugu, hata mimi aliyekipiga mzinga alikuwa rafiki yangu na alinifanyia umafia ambao sikutegemea.Fanya yoote ila avoid kuazimisha mtu gar ambae si ndugu yako wa damu.. utakuja lia mzee.. mim nilikua na kagar kangu fulan hiv aisee.. kuna bwege mmoja tumeenda club tuko ndan akanambia bro naomba funguo nikachukue pombe kwenye gar et aliiacha nyag yake.. nikampa kumbe alikua na plan za kusepa na gar.. af alikua kalewa flan.. akachkua kaenda nayo sinza kutoka posta.. akala mzinga ku.ma ma.ke.. had leo sjamsamehe na urafik uliisha... Mnduku kabisa yule bwege .. na alikua best friend
Pole sana.kalale uote tenaNasoma comments maana hata ndoto ya baiskeli Sina
Lazima sasaPole sana.kalale uote tena
Uko darasa la ngapi sasa hivi?Mara ya kwanza Mzee wng kununua Gari haikua Serious Sana japo alikua Excited kwakua ndio Ilikua gari yake ya Kwanza kumiliki. Ilikua Peugeot 505 alinunua Million Moja kutoka Kwa Fundi, Ilikua imetumika sana yani kiufupi ilikua ni Msiba[emoji23][emoji23]
Siku za weekend alikua anapiga Round Mitaa ya Home Anatubeba pamoja na watoto wa Jirani, tunakula Round Mpaka mafuta yanaisha. Fundi alikua anakuja nyumban kutengeneza mpaka nikahisi Ni ndugu yetu.
Gari la Mwisho Kununua Ndio ilikua Maajabu, ilikua Toyota Prado Tx 2012 Series, katoka nayo Dar mwenyewe mpka Home, Kaingia Usiku, Basi tukatoka Kumpokea, Ilikua BrandNew, Ndani Kiyoyoz usipovaa Sweta unakufa[emoji23][emoji23], Hii Siku ndio nilijionea Maajabu.
Mzee hakulala kbsaaaaaa, Kila baada ya Dk 10 anatoka Nje kuiangalia, Anaingia ndani Anaiwasha halafu anazima. Baada ya Muda analock then Anarudi Chumbani. Anaamka tena hvy hvy mpaka asubuhi. Kulipokucha tu akaiwasha Huyoo Mjini. Nikasema daah kweli Mali inaweza kukutoa Roho. Sipatii picha ndo ningejichanganya niikwaruze au nivunje kioo Cha Side Mirror.