Tupeane uzoefu: Siku yako ya kwanza kununua gari ilikuwaje?

Duh mkuu kumbe we ni majuzi tu hapa enzi za crown....mi ni enzi za Carina ED zile zilikua zinafanana na Exiv vitasa vya milango vinabenjuka kama biscuit,wakongwe wananielewa...pale wajapan walitupiga. Anyway mi siku ya kwanza kununua sikulala kama wiki hivi...na baadhi ya machizi nilokua nafanya nao kazi wakaninunia kabisa. 2008 hiyo

Carina ED si ndio ile sport fulani. Inakata kona tairi zote hadi za nyuma?
 
Hahahhaahhahahahaha.. dah. Umenikumbusha mbal sana.. nimezaliwa nmekuta magar home ila niliponunua langu aisee ilikua ni kero

Kwanza watoto walikua wakipita pita sina amani najua lazima wachore

Au kukwangua na mawe. Aisee

Ile alarm niliyoiweka ilikua si ya nchi hii.. yaan hata ukifungulia radio mzik mkubwa ndan lazima ipige kelele

Niliinunulia cover aise... Gari ilikua nikitoka job naifunika asubuj naifunua. Hahaha..

Usiku sasa usingiz hauj halaf kipind hko nakaa sinza mori aisee... Niliishi bila usingiz kamil mwez mzima.. hahahaha

Achen tu kitu unayonunua kwa hela yako mwenyew.. inauma sanaaaaa
 
Aya uyu nae kwao kuna gari enheee comment nyingine next
 
Nilipitia sheli nikaweka mafuta,moja kwa moja shamba,ndio ilikua siku ya kwanza kutumia gari kwenye kilimo
 
Hahahhaahhahahahaha.. dah. Umenikumbusha mbal sana.. nimezaliwa nmekuta magar home ila niliponunua langu aisee ilikua ni kero

Kwanza watoto walikua wakipita pita sina amani najua lazima wachore

Au kukwangua na mawe. Aisee

Ile alarm niliyoiweka ilikua si ya nchi hii.. yaan hata ukifungulia radio mzik mkubwa ndan lazima ipige kelele

Niliinunulia cover aise... Gari ilikua nikitoka job naifunika asubuj naifunua. Hahaha..

Usiku sasa usingiz hauj halaf kipind hko nakaa sinza mori aisee... Niliishi bila usingiz kamil mwez mzima.. hahahaha

Achen tu kitu unayonunua kwa hela yako mwenyew.. inauma sanaaaaa
Hahahaha mzee hiyo ndio inaitwa Nina gari sasaaaa
 
Chai hii
 
Sijawahi kumiliki gari uchumi hauniruhusu ila nikiwa nasoma nilinunuliwa baiskel na shangazi usiku naiingiza chumbani kwangu naifunika shuka
Siku nikinunua gari ntailaza ndani mi ndo nilale nje
 
Back
Top Bottom