Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 373
- 467
Ilikuwa tabu sanaaaWana jf ushamba mzigo mwenzenu msukuma Mimi wa maganzo siku ya kwanza kununua gari langu binafsi nlikuwa nachungulia nje kila wakati Yani usingizi hauji naangalia crown yangu(ndege ya ardhini).Mtaani misele walikoma nlipita mitaa ya ma x zangu wote sinza, keko,buguruni kwamnyamani hadi mburahati.
Yani usiku kucha sikulala ,picha Kama zote na status za kibabe .
Wandugu hebu tupeane uzoefu siku yako ya kwanza kununua gari ilikuwaje?
Tukumbuke hata wenye ist wanaruhusiwa kuchangia mada na hata wale waliohongwa pia rukhsa kutoa ushuhuda.
Mzee gari aina gani ilikuwa?Ilikuwa kawaida tu!
Wana jf ushamba mzigo mwenzenu msukuma Mimi wa maganzo siku ya kwanza kununua gari langu binafsi nlikuwa nachungulia nje kila wakati Yani usingizi hauji naangalia crown yangu(ndege ya ardhini).Mtaani misele walikoma nlipita mitaa ya ma x zangu wote sinza, keko,buguruni kwamnyamani hadi mburahati.
Yani usiku kucha sikulala ,picha Kama zote na status za kibabe .
Wandugu hebu tupeane uzoefu siku yako ya kwanza kununua gari ilikuwaje?
Tukumbuke hata wenye ist wanaruhusiwa kuchangia mada na hata wale waliohongwa pia rukhsa kutoa ushuhuda.
Mimi ilikua cm ikiita naenda kupokelea ndani ya gari[emoji23][emoji23]Wana jf ushamba mzigo mwenzenu msukuma Mimi wa maganzo siku ya kwanza kununua gari langu binafsi nlikuwa nachungulia nje kila wakati Yani usingizi hauji naangalia crown yangu(ndege ya ardhini).Mtaani misele walikoma nlipita mitaa ya ma x zangu wote sinza, keko,buguruni kwamnyamani hadi mburahati.
Yani usiku kucha sikulala ,picha Kama zote na status za kibabe .
Wandugu hebu tupeane uzoefu siku yako ya kwanza kununua gari ilikuwaje?
Tukumbuke hata wenye ist wanaruhusiwa kuchangia mada na hata wale waliohongwa pia rukhsa kutoa ushuhuda.
Ilikuwa 2013, nilikuwa nikiingia ndani nikikaa sana dakika 10, natoka natafta safari nikikutana mtu nnayemfahamu hata kama anaenda wapi nampa lift na nampeleka ili mradi tu nipate safari.Wana jf ushamba mzigo mwenzenu msukuma Mimi wa maganzo siku ya kwanza kununua gari langu binafsi nlikuwa nachungulia nje kila wakati Yani usingizi hauji naangalia crown yangu(ndege ya ardhini).Mtaani misele walikoma nlipita mitaa ya ma x zangu wote sinza, keko,buguruni kwamnyamani hadi mburahati.
Yani usiku kucha sikulala ,picha Kama zote na status za kibabe .
Wandugu hebu tupeane uzoefu siku yako ya kwanza kununua gari ilikuwaje?
Tukumbuke hata wenye ist wanaruhusiwa kuchangia mada na hata wale waliohongwa pia rukhsa kutoa ushuhuda.
Hahahaha ilikuwaje siku ya kwanza kuendesha ungo.Tunaomba picha tafadhalk
Hongera mkuu inaonekana hupendi show ofNachokumbuka sijawahi kujipost post na gari ila wanaonifahamu walijua baada ya kuona niko nalo!
Hahahah umetisha mkuuMimi ilikua cm ikiita naenda kupokelea ndani ya gari[emoji23][emoji23]
Duh hilikuwa balaaIlikuwa 2013, nilikuwa nikiingia ndani nikikaa sana dakika 10, natoka natafta safari nikikutana mtu nnayemfahamu hata kama anaenda wapi nampa lift na nampeleka ili mradi tu nipate safari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeongea kweli unajua hadi Leo Kuna watu wanaamini ukiwa na gari wewe tajiriDuh mkuu kumbe we ni majuzi tu hapa enzi za crown....mi ni enzi za Carina ED zile zilikua zinafanana na Exiv vitasa vya milango vinabenjuka kama biscuit,wakongwe wananielewa...pale wajapan walitupiga. Anyway mi siku ya kwanza kununua sikulala kama wiki hivi...na baadhi ya machizi nilokua nafanya nao kazi wakaninunia kabisa. 2008 hiyo
Hahahahha uzi haukuhusu huu Mungu akubless upate japo ist ya kuanziaDaah tunaopanda daladala tunasoma comments tu
Ulifanyaje iliwatu wajue lako?Hata tulionunuliwa tuchangie?
Mimi siku ya kwanza kumiliki usafiri wangu haikunisumbua maana kabla ya hapo nilikuwa nimeshazoea magari ya kugongea.
Ila nilichojitahidi ni kuhakikisha kila mtu anajua lile ni langu na sio kwenye harakati za kugongea.
Ilikuwa tabu sanaaaView attachment 2140342
Hizi ccomments zimeniongezea uhai hakika 🤣🤣👊🏾 do!Daah tunaopanda daladala tunasoma comments tu