Duh mkuu kumbe we ni majuzi tu hapa enzi za crown....mi ni enzi za Carina ED zile zilikua zinafanana na Exiv vitasa vya milango vinabenjuka kama biscuit,wakongwe wananielewa...pale wajapan walitupiga. Anyway mi siku ya kwanza kununua sikulala kama wiki hivi...na baadhi ya machizi nilokua nafanya nao kazi wakaninunia kabisa. 2008 hiyo
Nawaonesha umilikiUlifanyaje iliwatu wajue lako?
Mweh!Carina ED si ndio ile sport fulani. Inakata kona tairi zote hadi za nyuma?
HahahhaahaaaNililala ndani ya gari siku 2 lisiibiwe. Nilipaki dirishani yani kila mara nachungulia.
Aya uyu nae kwao kuna gari enheee comment nyingine nextHahahhaahhahahahaha.. dah. Umenikumbusha mbal sana.. nimezaliwa nmekuta magar home ila niliponunua langu aisee ilikua ni kero
Kwanza watoto walikua wakipita pita sina amani najua lazima wachore
Au kukwangua na mawe. Aisee
Ile alarm niliyoiweka ilikua si ya nchi hii.. yaan hata ukifungulia radio mzik mkubwa ndan lazima ipige kelele
Niliinunulia cover aise... Gari ilikua nikitoka job naifunika asubuj naifunua. Hahaha..
Usiku sasa usingiz hauj halaf kipind hko nakaa sinza mori aisee... Niliishi bila usingiz kamil mwez mzima.. hahahaha
Achen tu kitu unayonunua kwa hela yako mwenyew.. inauma sanaaaaa
Ukinunua lako ndio uje ulete habari hapaNikinunua langu nitawaambia aisee ila kwa wakati huu huwa nagongea gari la mama mkubwa Toyota Ipsum T.... DKT so mbaya najua sitakuwa mgeni nayo
Kutumia gari kwenye kilimo kivipi?Nilipitia sheli nikaweka mafuta,moja kwa moja shamba,ndio ilikua siku ya kwanza kutumia gari kwenye kilimo
Hahahaha mzee hiyo ndio inaitwa Nina gari sasaaaaHahahhaahhahahahaha.. dah. Umenikumbusha mbal sana.. nimezaliwa nmekuta magar home ila niliponunua langu aisee ilikua ni kero
Kwanza watoto walikua wakipita pita sina amani najua lazima wachore
Au kukwangua na mawe. Aisee
Ile alarm niliyoiweka ilikua si ya nchi hii.. yaan hata ukifungulia radio mzik mkubwa ndan lazima ipige kelele
Niliinunulia cover aise... Gari ilikua nikitoka job naifunika asubuj naifunua. Hahaha..
Usiku sasa usingiz hauj halaf kipind hko nakaa sinza mori aisee... Niliishi bila usingiz kamil mwez mzima.. hahahaha
Achen tu kitu unayonunua kwa hela yako mwenyew.. inauma sanaaaaa
Ilikuwa kawaida wakati huna gari acha utoto mkuuIlikuwa kawaida tu!
Chai hiiHahahhaahhahahahaha.. dah. Umenikumbusha mbal sana.. nimezaliwa nmekuta magar home ila niliponunua langu aisee ilikua ni kero
Kwanza watoto walikua wakipita pita sina amani najua lazima wachore
Au kukwangua na mawe. Aisee
Ile alarm niliyoiweka ilikua si ya nchi hii.. yaan hata ukifungulia radio mzik mkubwa ndan lazima ipige kelele
Niliinunulia cover aise... Gari ilikua nikitoka job naifunika asubuj naifunua. Hahaha..
Usiku sasa usingiz hauj halaf kipind hko nakaa sinza mori aisee... Niliishi bila usingiz kamil mwez mzima.. hahahaha
Achen tu kitu unayonunua kwa hela yako mwenyew.. inauma sanaaaaa
The same to meNachokumbuka sijawahi kujipost post na gari ila wanaonifahamu walijua baada ya kuona niko nalo!
🤣Ilikuwa tabu sanaaaView attachment 2140342
Worry out....Daah tunaopanda daladala tunasoma comments tu
Unajuaje Kama chaiChai hii