Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Ngoja nikite kambi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuelezee Mkuu tupate ya kujifunza.Nilienda kusaka mali, nikarudi na mawazo hasi kuhusu utajiri
Mbona tupo,huku au mpaka tucommentUzi mzuri sana ila kwakua wabongo wengi mawazo yao wamewekeza kwenye kukuna na kunyambua nyapi humu hutawaona kwa wingi
Mpo huku wangapi? Je ukipewa kitabu na nyapi kwa siku nzima utachagua kipi?Mbona tupo,huku au mpaka tucomment
Sawa,Tuelezee Mkuu tupate ya kujifunza.
Funguka madame.Sawa,
Unajua watu wana dhana tofauti mno kuhusu 'utajiri wa kafara'
Mimi nimekaa na hao waganga wanaotoa hizo pesa za utajiri kwa njia ya majini na mashetani.
Tunalishana sana matango pori kuhusu haya mambo.
Mambo ni mengi sana tunadanganyana.
Sawa, nikipata nafasi nitawajuzaFunguka madame.
Acha kujifanya mwanamke wakati wewe ni mwanaume
Alf mi ni bookworm kabisa ila ntachagua nyapu😅Mpo huku wangapi? Je ukipewa kitabu na nyapi kwa siku nzima utachagua kipi?
Njema sana kaka
Nakubali watu na nyapi zenuAlf mi ni bookworm kabisa ila ntachagua nyapu😅
Tamaa, kupenda sifa na kutaka umaarufuKwanini