Tupeane visa na mikasa ulivyowahi kukutana navyo kwenye pilika za kusaka utajiri

Naamini huijui hadithi hiyo ndio maana umenijibu hivyo. Kifupi sijaipinga stori yako ila inafanana na hii hadithi.
 
Unanifuatilia mie mama yako shenzi type ,kishingo chembamba kama fito za kujengea shule,pua kubwa kama majengo ya tazara. Sura sasa mbaya kama bara bara zakuelekea kigoma.
Hebu peleka kitumbo chaminyoo kule
Njoo tulale nikupe mautamu 😂🤣
 
😂😂😂
Utajiri ni roho aisee. Nakumbuka mwaka 2017 kuna familia fulani waliniambia Wana kiwanja wanauza kipo maeneo mazuri sana ufukweni kabisa. Sasa mimi nikawa nawaaambia Madalali na ile familia ilikuwa ni ya Mzee mmoja ambaye ameshawahi kuwa Waziri, balozi wa nchi kama 6 tena zile kubwa duniani.

Kwa sababu ile familia wenye mali ni wanawake na wameishi sana nje za nchi mambo ya kutafuta wateja yalikuwa ni mageni kwao.

Sasa kuna dalali fulani nilimfuata baada ya kuelekezwa na watu ni kaongea naye nikamwambia kuna eneo lipo sehemu fulani ni 1650 sqm lina ukuta na servant quarter nikamwambia linauzwa usd laki 5 na kuna asilimia ya 5 udalali hapo. Basi yule dalali akaniambia kuna mtaalam yupo Kisiju tukienda kuongea naye hili jambo ni simple sana na mimi huwa na tumia sana yaani pale nikumuambia na yeye atasoma dua tu haichukui wiki mbili Tajiri atatutafuta mwenyewe.

Nilamuuliza anapatikana wapi huyo mtaalam? Akaniambia kisiju nauli kama 35 elfu kila mtu na inabidi twende na sukari, mikate, kahawa kumpelekea kama zawadi. Basi nikamfuata yule Mama ambaye ni Dada mkubwa wa familia tena alikuwa ni Afisa mkubwa wizara fulani nyeti sana.

Nilipomweleza akaniambia kama ni hivyo sawa akanipa na nauli ya kwenda huko Kisiju. Siku ya kwenda tukanunua mikate, sukari kilo 1 na kahawa ya Africafe. Aisee ile safari ilikuwa ni mbali mno. Tulipandia gari Mbagala kuelekea huko Kisiju, tukafika sehemu kama njia panda tukashuka kwenye gari. Tukachukua bodaboda aisee ni mbali halafu ni porini kweli kweli. Nadhani ni umbali kama wa Makumbusho mpaka Pugu. Kufika pale yale mazingira yanaogopesha mnoo. Nyumba ipo katikatya pori yamepaki magari mazuri kuna generator kubwa sana, TV nchi 45 ipo nje tu na kijumba cha hovyo hovyo. Mali za yule mtaalam zipo nje nje na hakuna wa kugusa.
Hatukumkuta yule mtaalam aisee nilipaniki na kuanza kuwachenjia bodaboda na niligombezana nao sana. Nyie mnajua mtu hayupo halafu mmetuleta mpaka huku iwaje?

Nilikua najiamini hata yule Mzee dalali akaniona aisee huyu Kijana na mwanaume kweli. Wale bodaboda wakaanza kuleta uswahilini nikawaambia pikipiki zenu nimeshazipiga picha na ninazituma polisi nyie ni matapeli waliogopa nikawaambia turudisheni haraka stendi nikawapa elfu 40 tu badala ya 70 elfu.

Yule mtaalam kumbe alikuwa ameenda Dar nyumbani kwake maeneo ya Mbagala ikabidi tuunganishe mpaka Maji matitu Mbagala kutokea Kisiju kufika Mbagala mida ya saa 1 jioni tukakuta kuna shughuli mzito sana na hatukuweza kuonana naye maana alikuwa ameshakuwa katika hali nyingine kabisa sijui ndio alikuwa anazungumza na majini na damu ya imemwaga nyingi sana na nyingine ipo kwenye ndoo mbili za lita 20. Tukaambiwa na vijana wake ondokeni haraka sana njooni kesho kuna viumbe wazito wanaingia hapa.

Itaendelea
We Manyanza njoo umalizie hiki kisa
 
Tunasubiri mwendelezo
 
Back
Top Bottom