Tupeane visa na mikasa ulivyowahi kukutana navyo kwenye pilika za kusaka utajiri

Kilometers zaidi ya 56 kwenda na kurudi.. Nilifika home twin bank za manii ziko hoi😂
hahaha, niko Safari fulani na mjomba angu. Kwa harakati za hapa na pale.

kani tambulisha kwa rafiki yake, huyu Jamaa ali kuwa ana enda safari kutoka kigoma hadi geita kwa baiskeli.

yeye, mkewe, watoto 2, aisee uanaume kazi😁😂
 
Huwa wanatumia mizizi Kaka, Ihale Masanza One hadi Karagwe, watu wanatoka SAA Tisa alfajiri, SAA saba mchana wako Karagwe, Kagera
 
Back
Top Bottom