Tupeleke watoto shule za kiingereza, Tuache kupotoshana kwa kauli za kimasikini kusifia kayumba na kusingizia shule za kiingereza zinaharibu watoto.

Yai ni lazima Dunia ya Leo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi kuna mzazi mwenye akili timamu asiyetaka mtoto wake asome shule nzuri?

Ukiona mtu anapinga, ujue ni ama hana uwezo wa kuwapeleka watoto wake shule za English medium au hataki watoto wa wenzake wawe na uwezo wa kuwasiliana na dunia kama watoto wake!

Wewe unafikiri kwa nini watoto wa vigogo hawasomi shule za St. Kayumba?

Unafahamu mtoto wa Juma Ngamia alikuwa akisoma shule gani kipindi baba yake akiwa Mbunge?

Unafahamu mtoto wa Kikwete alikuwa akisoma shule gani kipindi Kikwete akiwa Rais?

Unafahamu watoto wa Mwigulu Nchemba wanasoma shule gani?

Unafahamu watoto wa mawaziri wanasoma shule gani?

Siyo kwamba hao wote hawajui kuwa kuna shule za Elimu Bure, ila hawataki "kuwalemaza" watoto wao!
 
huu uandishi unaonyesha kabisa bado unakula kwa mama.
 
Sehemu ya kumptia mtoto elimu bora ya msingi wa maisha yake ya kila siku ni Madrassa, zingine zote ni ziada tu.
Ifafanue hii tuilewe mkuu. Akihifadhi kora'n naijua siri hapa bali tupe madini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…