Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Ni pale niliposimamishwa kazi !
Ndo nikawa sifai!
Btw nimeshapata kazi nyingine , yenye income kuzidi ya awali .
Atafaidi huyu mpya nilienae .
Swali la nyongeza ........

hiyo kazi utatutajia lini.tujue kama kweli income ni zaidi ya ile ya awali!!!!!!
 

Huo ndio uungwana mkuu, pamoja sana ila sula la tani moja ya gesi muhimu!
CC: shansarie
 
Last edited by a moderator:

Hope kwenye red you meant 'Mwa'
Stay cool!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…