Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikuwa hujui???
ha ha ha ana bahati ya kuzaliwa cc: Heaven on Earth
Shem wangu...usijali, nimemsamehe kabisa.
Niko na Amani.
Nilikuwa bize kutafuta kura maana ndizo ambazo mwisho wa siku zingeamua nani mshindi, nadhani uliona matokeo ya mwisho.
Kashamsamehe tayari!!
mambo sasa ni poa kabisa..
Ni pale niliposimamishwa kazi !
Ndo nikawa sifai!
Btw nimeshapata kazi nyingine , yenye income kuzidi ya awali .
Atafaidi huyu mpya nilienae .
Swali la nyongeza ........
​asante shem i love you again...................
Wakuu!
habarini za mida hii?
Kwa moyo wa ukunjufu kabisa..
Naombeni tuwe na umoja na upendo tena uzidi ule wa mwanzo..
Tofauti zetu tuzitupe kule..
Tuliowakwaza kwa njia yoyote ile twaombeni mtusamehe..
Mliotukwaza tayari tumeshasamehe..
Much love to you all!
From Kiwatengu & shansarie family..
CC: Arushaone, Lady doctor, watu8, 24hrs, figganigga, Mzee, Madame B, Heaven on Earth, manyasi, Mamndenyi, Baba V, Filipo, Erickb52, Chocs, Passion Lady, ladyfurahia, Judgement, Asprin, Dark City, charminglady, Fixed Point, PakaJimmy, MMAHE, KOKUTONA, Arabela, farkhina, DEMBA, Kaizer, kerucee, black woman, Smile, Munkari.. Mr Rocky, Ladymasa, Preta, marejesho, mwallu, amu, YNNAH, Jiwe Linaloishi Paloma, sosoliso, Slave, King'asti...at all
mbona I love you nyingi sanaaaaaa
Wakuu!
habarini za mida hii?
Kwa moyo wa ukunjufu kabisa..
Naombeni tuwe na umoja na upendo tena uzidi ule wa mwanzo..
Tofauti zetu tuzitupe kule..
Tuliowakwaza kwa njia yoyote ile twaombeni mtusamehe..
Mliotukwaza tayari tumeshasamehe..
Much love to you all!
From Kiwatengu & shansarie family..
CC: Arushaone, Lady doctor, watu8, 24hrs, figganigga, Mzee, Madame B, Heaven on Earth, manyasi, !Mamndenyi, Baba V, Filipo, Erickb52, Chocs, Passion Lady, ladyfurahia, Judgement, Asprin, Dark City, charminglady, Fixed Point, PakaJimmy, MMAHE, KOKUTONA, Arabela, farkhina, DEMBA, Kaizer, kerucee, black woman, Smile, Munkari.. Mr Rocky, Ladymasa, Preta, marejesho, mwallu, amu, YNNAH, Jiwe Linaloishi Paloma, sosoliso, Slave, King'asti...at all
Hope kwenye red you meant 'Mwa'
Stay cool!
tunapendana sana jamanimbona I love you nyingi sanaaaaaa
ila moyo waniuma kupuuzia penzi languhongera zako bana
Mr Rocky nakumisoo sana na mimi..... grafani11 mambo mengi yuleHeaven on Earth hivi unajua nakumiss sana au grafani11 hajakuambia aise