Yanga waliokota dhahabuNimetoka kuangalia game ya Stand na Yanga na Stand kuchapwa bakora 4 mbili ya hizo akipiga Ibrahim Ajib
Tukiacha unanzi Ajib ni mchezaji mzuri anakila kitu amekamilika anafunga,anatoa assist,anachezea mpira kwa kifupi anajua.
Na Tangu amekuja Yanga amebadilika sana ameacha kucheza na jukwaa na kupiga kazi tu.
Yanga waliokota dhahabu
Hana kiwango cha kucheza njesasa bongo anafanya nini..
basi acheze hapa hapa bongoHana kiwango cha kucheza nje
Yaani hapa kwetu amejiachia ala bata...
Utauona uchezaji wake kivip wakati hats chandimu hujawahi kucheza? Umeambiwa kabisa kibongo huyu dogo yupo vizur sema ushabiki wako tu ndio unakupofushaSijaona huo uchezaji wa kusifia, Tatizo Tanzania mtu akifunga tu huyo ni Bonge la Mchezaji.
Ajibu hawezi kwenda Nje ya Nchi kucheza kiwango chake kipo CCM Kambarage.
Acha mihemko ya kike kucheza kwangu na mpira na huyo bwana yako kunakuhusu nini? Kama angekuwa hatari mnavyodhani leo hii Timu yake ya Taifa ingekuwa inavurunda?Utauona uchezaji wake kivip wakati hats chandimu hujawahi kucheza? Umeambiwa kabisa kibongo huyu dogo yupo vizur sema ushabiki wako tu ndio unakupofusha
Kwako wewe kiazi mchezaji bora ni anayeibeba timu yake ya taifa ? Unajua chochote kweli wewe kuhusu mchezaji au unaropoka tu? Wote wanaocheza Ulaya kwa viwango vikubwa unajua timu zao zote za taifa zimefuzu mashindano makubwa? Yupo Wanyama hapo jirani tu anachezea timu kubwa kuliko mchezaji yoyote wa Uganda lakini Uganda wanafanya vizur kuliko Kenya, je hilo linatoa ukweli kuwa Wanyama sio mchezaji mzuri?Acha mihemko ya kike kucheza kwangu na mpira na huyo bwana yako kunakuhusu nini? Kama angekuwa hatari mnavyodhani leo hii Timu yake ya Taifa ingekuwa inavurunda?
Aibebe timu yake ya taifa mabegani basi kama wenzake, sio kila mtu atakuwa na mahaba ya kufa kama wewe Ajib sioni uchezaji wake ni kwa vile Anafunga ndiyo maana mnaona ni Bonge la Mchezaji hana lolote.
Duh hatari eti mihemko ya kikeKwako wewe kiazi mchezaji bora ni anayeibeba timu yake ya taifa ? Unajua chochote kweli wewe kuhusu mchezaji au unaropoka tu? Wote wanaocheza Ulaya kwa viwango vikubwa unajua timu zao zote za taifa zimefuzu mashindano makubwa? Yupo Wanyama hapo jirani tu anachezea timu kubwa kuliko mchezaji yoyote wa Uganda lakini Uganda wanafanya vizur kuliko Kenya, je hilo linatoa ukweli kuwa Wanyama sio mchezaji mzuri?
Halafu hili neno mihemko ya kike uwe unamuambia mama yako au baba yako wewe kiazi.
Nimetoka kuangalia game ya Stand na Yanga na Stand kuchapwa bakora 4 mbili ya hizo akipiga Ibrahim Ajib
Tukiacha unanzi Ajib ni mchezaji mzuri anakila kitu amekamilika anafunga,anatoa assist,anachezea mpira kwa kifupi anajua.
Na Tangu amekuja Yanga amebadilika sana ameacha kucheza na jukwaa na kupiga kazi tu.