Tupende vya kwetu AJIBU ni mchezaji Aliyekamilika

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Nimetoka kuangalia game ya Stand na Yanga na Stand kuchapwa bakora 4 mbili ya hizo akipiga Ibrahim Ajib

Tukiacha unanzi Ajib ni mchezaji mzuri anakila kitu amekamilika anafunga,anatoa assist,anachezea mpira kwa kifupi anajua.

Na Tangu amekuja Yanga amebadilika sana ameacha kucheza na jukwaa na kupiga kazi tu.
 
Yanga waliokota dhahabu
 
Ajibu bora ni yule aliyekua Simba SC ambao ni mabingwa watarajiwa wa VPL, FA Cup, Kombe la Mapinduzi na Finalists wa CAF Confideration Cup katika msimu wa 2017/2018.. Huyu Ajibu wa Ndala ni "loo betri".. kuthibitisha hilo, TUKUTANE 28/10.
 
Sijaona huo uchezaji wa kusifia, Tatizo Tanzania mtu akifunga tu huyo ni Bonge la Mchezaji.

Ajibu hawezi kwenda Nje ya Nchi kucheza kiwango chake kipo CCM Kambarage.
 
Utauona uchezaji wake kivip wakati hats chandimu hujawahi kucheza? Umeambiwa kabisa kibongo huyu dogo yupo vizur sema ushabiki wako tu ndio unakupofusha
 
Acha mihemko ya kike kucheza kwangu na mpira na huyo bwana yako kunakuhusu nini? Kama angekuwa hatari mnavyodhani leo hii Timu yake ya Taifa ingekuwa inavurunda?

Aibebe timu yake ya taifa mabegani basi kama wenzake, sio kila mtu atakuwa na mahaba ya kufa kama wewe Ajib sioni uchezaji wake ni kwa vile Anafunga ndiyo maana mnaona ni Bonge la Mchezaji hana lolote.
 
Kwako wewe kiazi mchezaji bora ni anayeibeba timu yake ya taifa ? Unajua chochote kweli wewe kuhusu mchezaji au unaropoka tu? Wote wanaocheza Ulaya kwa viwango vikubwa unajua timu zao zote za taifa zimefuzu mashindano makubwa? Yupo Wanyama hapo jirani tu anachezea timu kubwa kuliko mchezaji yoyote wa Uganda lakini Uganda wanafanya vizur kuliko Kenya, je hilo linatoa ukweli kuwa Wanyama sio mchezaji mzuri?
Halafu hili neno mihemko ya kike uwe unamuambia mama yako au baba yako wewe kiazi.
 
Duh hatari eti mihemko ya kike
 
Nimetoka kuangalia game ya Stand na Yanga na Stand kuchapwa bakora 4 mbili ya hizo akipiga Ibrahim Ajib

Tukiacha unanzi Ajib ni mchezaji mzuri anakila kitu amekamilika anafunga,anatoa assist,anachezea mpira kwa kifupi anajua.

Na Tangu amekuja Yanga amebadilika sana ameacha kucheza na jukwaa na kupiga kazi tu.

Ajibu ana kipaji kumzidi samata na msuva tatizo hataki kutafuta changamoto nje ya nchi si ajabu akaishia simba na yanga sijui hana washauri?
 
Back
Top Bottom