Tupende vya kwetu AJIBU ni mchezaji Aliyekamilika

Kwako wewe kiazi mchezaji bora ni anayeibeba timu yake ya taifa ? Unajua chochote kweli wewe kuhusu mchezaji au unaropoka tu? Wote wanaocheza Ulaya kwa viwango vikubwa unajua timu zao zote za taifa zimefuzu mashindano makubwa? Yupo Wanyama hapo jirani tu anachezea timu kubwa kuliko mchezaji yoyote wa Uganda lakini Uganda wanafanya vizur kuliko Kenya, je hilo linatoa ukweli kuwa Wanyama sio mchezaji mzuri?
Halafu hili neno mihemko ya kike uwe unamuambia mama yako au baba yako wewe kiazi.
Unapokuwa na mahaba ya kugaragazwa utajikuta kuna siku utalambwa bila idhini yako, Ajibu Anacheza Mpira upi huo? Media kukenua kenua kwake ndiyo unaona ni Bonge la Mchezaji!!

Siwezi kubishana na wagonjwa wa ubongo na hasa ubongo wenye ukurutu kama wako, Ukimwona ni bora kwako usilazimishe kila mtu amhusudu huyo bwana yako ndiyo maana licha ya Messi kutwaa tuzo 5 za Ballon'dor kuna watu hata hawana mapenzi nae kila mtu ana jicho lake usitake jicho lako liwe la kila mtu, Ushabiki wa Kipumbavu kama wako wa kutaka kile unachoamini kila mmoja akipende ni ushoga wa ufahamu.

Osha kichwa chako huwenda una wigi linakufanya akili yako ilale.
 
Povj

Povu la OMO. Wivu tu unakusumbua.
 
Huyu Ajib msimu iliopita akiwa Simba alikua anacheza chini ya kiwango kumbe alikuwa kisha nunuliwa na upande wa pili.Na alichangia sana kuikosesha Simba ubingwa!!!
 
Povj

Povu la OMO. Wivu tu unakusumbua.
Wivu unao wewe unataka kila mtu apende wimbo unaocheza, acha udada katika soka watu wanapenda wachezaji kulingana n mioyo yao inavyowatuma, usitake kila mtu awe Simba au Yanga.

Na kushadadia Wanaume hadi mishipa inakutoka ni dalili moja wapo kuwa unaweza kuwa dhaifu kwa hao wanaume.
 
Huyu dogo tumpe msimu mmoja tu baada ya hapo tunamsahau
 
Nimetoka kuangalia game ya Stand na Yanga na Stand kuchapwa bakora 4 mbili ya hizo akipiga Ibrahim Ajib

Tukiacha unanzi Ajib ni mchezaji mzuri anakila kitu amekamilika anafunga,anatoa assist,anachezea mpira kwa kifupi anajua.

Na Tangu amekuja Yanga amebadilika sana ameacha kucheza na jukwaa na kupiga kazi tu.
Angekuwa borA angeenda ulaya cio kanjunju fc
 
Acha mihemko ya kike kucheza kwangu na mpira na huyo bwana yako kunakuhusu nini? Kama angekuwa hatari mnavyodhani leo hii Timu yake ya Taifa ingekuwa inavurunda?

Aibebe timu yake ya taifa mabegani basi kama wenzake, sio kila mtu atakuwa na mahaba ya kufa kama wewe Ajib sioni uchezaji wake ni kwa vile Anafunga ndiyo maana mnaona ni Bonge la Mchezaji hana lolote.
Unaheeeema! Wivu utakuua mtoto wa kike. Messi anaupiga na dunia nzima inajua, mbona asihukumiwe kwa udhafu wa Argentina?
 
Wewe nae Kipupa chako kitakufanya ukalie vidole, Messi anavyoibeba Argentina huoni au unataka Achukue Ndondo Cup ndipo ujue thamani yake, Usishiriki ngono ambayo hukujiandaa nayo utakuja kuliwa kitako.
 
Huyu dogo tumpe msimu mmoja tu baada ya hapo tunamsahau
Utaahira wa FISI huo wa kusubiri mkono uanguke aububune. Utasubiri sana. Hamjajifunza tu kuwa Yanga ni TIMAMU?

Tulimkwapua Tambwe, mkabeba yule Kiza kinene...takwimu unazijua.
Tumechukua Ajib mkabeba mwili wa Niyonzima na sasa mmeshaanza kusema ni 'pande tata'
 
Acha mihemko ya kike kucheza kwangu na mpira na huyo bwana yako kunakuhusu nini? Kama angekuwa hatari mnavyodhani leo hii Timu yake ya Taifa ingekuwa inavurunda?

Aibebe timu yake ya taifa mabegani basi kama wenzake, sio kila mtu atakuwa na mahaba ya kufa kama wewe Ajib sioni uchezaji wake ni kwa vile Anafunga ndiyo maana mnaona ni Bonge la Mchezaji hana lolote.
Kiongozi kwani timu ya taifa anacheza Ajibu mwenyewe?

Unajua Rooney,Lampard,Jerald,Scholes mpaka wanazeeka hawajafanya chochote na Uingereza

Unajua Messi hana Kombe lolote na Argentina

Unajua Giggs hata wales haijawahi kufuzu kombe la dunia enzi zake
 
Wewe nae Kipupa chako kitakufanya ukalie vidole, Messi anavyoibeba Argentina huoni au unataka Achukue Ndondo Cup ndipo ujue thamani yake, Usishiriki ngono ambayo hukujiandaa nayo utakuja kuliwa kitako.
Umepanic mamaangu? Utableed sana mwaka huu, maana Ajib ndio kwanza tunamandaa. Endelea kutukana maana dawa ya hasira ni kutoa povu...
 
Unapokuwa na mahaba ya kugaragazwa utajikuta kuna siku utalambwa bila idhini yako, Ajibu Anacheza Mpira upi huo? Media kukenua kenua kwake ndiyo unaona ni Bonge la Mchezaji!!

Siwezi kubishana na wagonjwa wa ubongo na hasa ubongo wenye ukurutu kama wako, Ukimwona ni bora kwako usilazimishe kila mtu amhusudu huyo bwana yako ndiyo maana licha ya Messi kutwaa tuzo 5 za Ballon'dor kuna watu hata hawana mapenzi nae kila mtu ana jicho lake usitake jicho lako liwe la kila mtu, Ushabiki wa Kipumbavu kama wako wa kutaka kile unachoamini kila mmoja akipende ni ushoga wa ufahamu.

Osha kichwa chako huwenda una wigi linakufanya akili yako ilale.
Hakuna haja ya Abuse language njoo na fact watu walioelimika hawatukanani

Hata kiongozi mmoja wa Simba kama wewe ni shabiki wa Simba alisema tukikutana na Yanga Mtu hatari ni Ajibu tu
 
Huyu Ajib msimu iliopita akiwa Simba alikua anacheza chini ya kiwango kumbe alikuwa kisha nunuliwa na upande wa pili.Na alichangia sana kuikosesha Simba ubingwa!!!
Aisee mmeanza hayo tena?Muulize kocha kamchezesha mara ngapi je kocha alikua anamwamini?
 
Back
Top Bottom