Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
- Thread starter
- #61
Hahahaha Umeshaukwaa subiri kufa MkuuJana niliopoa kadada karembo hapa mtaani, nikaendanako ghetto kukafukunyua [emoji533][emoji527].
Round mbili nikakagongea ndomu ili kuadhimisha AIDS DAY (Dec 1)[emoji848], ilipofika saa 10 weee cha 3 kitamu, si nikanogewa nikapiga dry na kusahau kuwa mdudu yupo.
Sasa hivi niko pharmacy natafuta PEP, jamani UKIMWI umekaa pabaya sana, yaani ni palepale panaponoga na penye utamu kolea [emoji22]