Tupia chochote ulichokifanya leo

Tupia chochote ulichokifanya leo

Jana niliopoa kadada karembo hapa mtaani, nikaendanako ghetto kukafukunyua [emoji533][emoji527].

Round mbili nikakagongea ndomu ili kuadhimisha AIDS DAY (Dec 1)[emoji848], ilipofika saa 10 weee cha 3 kitamu, si nikanogewa nikapiga dry na kusahau kuwa mdudu yupo.

Sasa hivi niko pharmacy natafuta PEP, jamani UKIMWI umekaa pabaya sana, yaani ni palepale panaponoga na penye utamu kolea [emoji22]
Hahahaha Umeshaukwaa subiri kufa Mkuu
 
Leo nimekutana na katoto chuma kwelikweli, [emoji28][emoji28][emoji28] nataka nijisogeze nikaona baharia kaniwai nikabidi niwe mpole.
Narud kwny miangaiko nakutana na kingine kwny mwendo kasi , kumbe kipo na mdau wake aiseeeh siku ilikuwa mbovu kwle[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Back
Top Bottom