Anajifanya ana kifua hataki kusemaaa ila najua nimeotea pamojaSiwezi kufanya hivyo Mimi ni verified mpemba mkuu
Juzi nipo zangu nachat na mtu humu nikashangaa naona dislike yake, nikamuuliza shida nini au wivu? Nikala nyingine. Nikasema usinizoee, nikamlamba ignorance πUlijuajeee
Alipojifanya kampiga dislike moderator si akapigwa ban ya kureact akafungua uzi ππππππJuzi nipo zangu nachat na mtu humu nikashangaa naona dislike yake, nikamuuliza shida nini au wivu? Nikala nyingine. Nikasema usinizoee, nikamlamba ignorance π
Katika pitapita mitaani naona kumbe anazigawa kwa kila mtu hadi Cookie alimdislike wakati hakukisea kitu moderator wa watuπ
Umeuwa mkuu πππWazi mi nakukong'otea chaurembo fanya kama unajikuna basi tukamilishe agizo la kibibliaπ€£
Kumbe huyo jirani yangu hapa kigamboni πππππAlipojifanya kampiga dislike moderator si akapigwa ban ya kureact akafungua uzi ππππππ
Toka hapo sijamuona tena mpka leo
Nitakuambia, ila nampenda sana π€Siwezi kufanya hivyo Mimi ni verified mpemba mkuu
Shida alikuwa anamuiga django doer bwana maana yule jamaa yeye karibia kila mtu anampiga dislike bahati mbaya kikamrambaaaJuzi nipo zangu nachat na mtu humu nikashangaa naona dislike yake, nikamuuliza shida nini au wivu? Nikala nyingine. Nikasema usinizoee, nikamlamba ignorance π
Katika pitapita mitaani naona kumbe anazigawa kwa kila mtu hadi Cookie alimdislike wakati hakukisea kitu moderator wa watuπ
Hivi hao madogo shida hasa huwa ni Nini hadi wanatembeza dislikeS
Shida alikuwa anamuiga django doer bwana maana yule jamaa yeye karibia kila mtu anampiga dislike bahati mbaya kikamrambaaa
Unakula dislike unauliza???πππ hadi mm nilikula dislike kama tano hivi kila memba akawa analalamikaaa ghafla akarambwa ban ya reactionsNitakuambia, ila nampenda sana π€
Eeeeh huyo huyo mwenye id million, watu wa kigamboni wana hasira sijui za kulipia darajaKumbe huyo jirani yangu hapa kigamboni πππππ
Django anakuwaga na mtindo wa kuwafata wanawake pm afu anaongeaga lugha chafu wanamtolea nje bwana,akitoka Huko ni mwendo wa kudislike kila mtuHivi hao madogo shida hasa huwa ni Nini hadi wanatembeza dislike
Duh anatatizo la akili aisee hicho tu ndio anatembeza dislike π π afu Itakuwa na maisha yanamchanganyaD
Django anakuwaga na mtindo wa kuwafata wanawake pm afu anaongeaga lugha chafu wanamtolea nje bwana,akitoka Huko ni mwendo wa kudislike kila mtu
Inawezekana mkuuDuh anatatizo la akili aisee hicho tu ndio anatembeza dislike π π afu Itakuwa na maisha yanamchanganya
Who is Putin πππHahaa π, kati ya Fake P na Putin nani anatembea na roho yako?
Naam huyo ndio Django doer πD
Django anakuwaga na mtindo wa kuwafata wanawake pm afu anaongeaga lugha chafu wanamtolea nje bwana,akitoka Huko ni mwendo wa kudislike kila mtu